NAIBU WAZIRI SIMA APIGA MARUFUKU UOKOTAJI WA CHUPA ZA PLASTIKI DAMPO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya

Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa  kuanzisha programu maalumu ya kutoa elimu kwa wananchi juu ya utenganishaji wa taka kuanzia ngazi ya kaya ili kutofautisha aina ya taka za kurejeleza na zile za kupeleka dampo.

Agizo hilo limetolewa hii Mkoani Mbeya na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mussa Sima wakati wa ziara ya kikazi  katika dampo la Nsagala lenye ukubwa wa hekta 28 na kumuagiza Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Amede Ng’wanidako kushirikiana na Baraza ka Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)  kufanya tathmini ya kina ya kuboresha dampo hilo.

Ad

Amesema ujenzi wa huo wa dampo la kisasa utasaidia juhudi za Serikali za kutotumia fedha nyingi kwenye ununuzi wa vifaa tiba kwa kuwa taka zitakazolishwa katika Jiji la Mbeya zitapelekwa dampo kwa wakati na kunusuru magonjwa ya mlipuko.

Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw. Vanika Ndelekwa akitoa maelezo ya kitaalamu kwa Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima kuhusu uendeshaji wa dampo la Kisasa la Nsagala lenye ukubwa wa hekta 28 lililojengwa kupitia mradi wa Uendelezaji wa Miji kupitia ufadhili wa Benki ya Dunia. Wengine katika picha kutoka kulia ni Bw. Said Juma Maditto kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira na Dkt. Samuel Gwamaka Mkurugenzi Mkuu – NEMC.

“Huwezi kutenganisha afya na mazingira, mradi huu ni mkubwa sana na kwa namna utakavyotekelezwa hatutaraji kuona taka mjini zinazagaa.Tunatarajia kuona taka zote zinakuja hapa zikiwa zimetenganishwa” alisema Naibu Waziri Sima.

Akiwa katika eneo hilo la dampo la Nsagala, Mhe Sima ameshuhudia wananchi wakiingia kiholela katika dampo hilo kwa ajili ya kuokota bidhaa mfano chupa za plastiki kwa ajili ya kuziuza.

“Serikali inatumia pesa nyingi katika huduma za afya ni wakati sasa tupunguze mzigo huu kwa magonjwa yanayoweza kuepukika kwa kuwa na mazingira safi na salama. Kuanzia sasa ni marufuku wananchi kuingia dampo kuokota chupa za plastiki, hii inahatarisha afya zao wenyewe, hivyo utaratibu wa kutenganisha taka uanzie katika vyanzo vya uzalishaji” Sima alisisitiza.

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mussa Sima akiwa na viongozi wa Jiji na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika dampo la Nsagala kufanya ukaguzi wa hali ya mazingira katika eneo hilo. Wengine katika picha ni Prof Esnat Chaggu Mwenyekiti wa Bodi – Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC na Dkt. Samuel Gwamaka Mkurugenzi Mkuu – NEMC (kushoto)

Na Lulu Mussa, Mbeya

Awali Mwenyekiti wa Bodi wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Prof. Esnat Chaggu amesema  kwa hali ilivyosasa katika dampo hilo endapo hatua za haraka hazitachukuliwa upo uwezekano wa dampo hilo kujaa mapema.

“Inabidi ufanyike utafiti wa kina zaidi kuhusu hili dampo, kwakuwa taka zote zinazozalishwa majumbani zinaletwa hapa bila kutenganishwa hivyo afya za watu ziko hatarini hususan hawa wananchi wanaokuja kuokota taka hizi hapa dampo” alisisitiza Prof. Chaggu.

Nae Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) Dkt. Samwel Gwamaka amesema kuwa Sheria ya Mazingira ya mwaka 2004, kifungu cha 119 kinazitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa kutafuta namna bora ya kuteketeza taka ngumu katika maeneo yao na kuainisha jitahada za pamoja zinahitajika katika kutoa elimu kwa jamii kuanzia ngazi ya Kitongoji, Kijiji na Kata.

Amesema NEMC iko tayari kushirikiana na Jiji katika utoaji wa elimu katika ngazi zote na kusisitiza mpango kazi huo kutekelezwa mara moja.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Jiji la Mbeya Bw. Vanika Ndelekwa amemuhakikishia Naibu Waziri uzingatiaji wa maelekezo yote yaliyotolewa na utekelezaji wake kuanza mapema wiki ijayo. Dampo la Nsagala lina vitalu (cells) tatu za kuhifadhi taka ngumu na lina uwezo wa kuhudumia taka za Jiji kwa kipindi cha miaka 18

Naibu Waziri Mussa Sima, yuko katika ziara ya kikazi katika mikoa ya Nyanda za juu Kusini kuzipatia ufumbuzi changamoto za kimazingira, kukagua uzingatia wa sheria ya Mazingira katika maeneo ya migodi na sehemu za kuteketeza taka pia kujiridhisha endapo utaratibu wa kutenganisha taka unazingatiwa ili kuzuia wananchi kuzifuata dampo hususan bidhaa zinazo rejelezeka.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mama Mzazi wa Mama Janeth Magufuli (Juliana Stephano Kidaso) katika eneo la Kigongo Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza

799 Maoni

  1. курсовые работы на заказ https://zakazat-kursovuyu-rabotu7.ru

  2. сколько будет стоить такси вызвать такси

  3. такси эконом недорого https://taxi-vyzvat.ru

  4. дешевое такси в новочеркасске такси в аэропорт

  5. такси новочеркасск недорого такси недорого цены

  6. заказать такси в новочеркасске недорого эконом заказать такси недорого эконом

  7. Узнай все о недвижимости на одном портале! Наши интересные статьи о налогах на недвижимость и о налоговых вычетах за покупку недвижимости помогут тебе разобраться во всех нюансах этой сложной области.
    Не упусти возможность быть в курсе всех новостей и принимать взвешенные решения! Посети наш сайт и стань экспертом в области покупки недвижимости!

  8. курсовые работы на заказ https://zakazat-kontrolnuyu7.ru

  9. решение задач на заказ https://resheniye-zadach7.ru заказать онлайн

  10. Желаете стать профи в сфере недвижимости? Наш сайт – это ваш незаменимый помощник! Мы предлагаем огромное количество полезных статей на такие темы, как отделка квартиры, а также продажа жилья. Наши эксперты поделятся с вами полезными советами, чтобы помочь вам принимать обоснованные решения в сфере недвижимости!

  11. bicrypto – crypto exchange software. White label, open-source exchange solution with a focus on a super-fast, pixel-perfect interface and robust security. High-performance platform with a robust internal architecture. Leverages the capabilities of Nuxt3 to create a cutting-edge user interface.

  12. купить споры грибов псилоцибы кратом семена

  13. https://bicrypto.exchange – crypto exchange software. White label, open-source exchange solution with a focus on a super-fast, pixel-perfect interface and robust security. High-performance platform with a robust internal architecture. Leverages the capabilities of Nuxt3 to create a cutting-edge user interface.

  14. банистериопсис каапи купить https://travelservic.ru

  15. salvia дивинорум шалфей купить https://travelservic.ru

  16. купить диплом гознак
    тут

  17. купить диплом техника
    сайт

  18. купить диплом в иваново
    смотреть тут

  19. купить аттестат школы
    на сайте

  20. купить диплом в красноярске
    по ссылке

  21. купить диплом университета
    ссылка на страницу

  22. купить диплом техника
    веб сайт

  23. купить диплом массажиста
    смотреть тут

  24. купить диплом старого образца 6landik-diploms.com

  25. купить диплом в нижнекамске https://www.6landik-diploms.com/

  26. купить диплом в братске 6landik-diploms.com

  27. купить аттестат за 9 классов 6landik-diploms.com

  28. сайдинг для дома цена https://kanoner.com

  29. парма купить в москве https://messir-zakaz.ru

  30. сыровяленые мясные деликатесы брезаола цена

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *