Veronica Simba – Ngara Serikali imeeleza kuwa Mradi wa kuzalisha umeme kwa kutumia maporomoko ya maji ya Mto Kagera, unaotekelezwa Rusumo wilayani Ngara, una manufaa mtambuka kwa Watanzania. Hayo yalielezwa jana, Septemba 28, 2020 na Timu ya Serikali kutoka Tanzania inayosimamia Mradi huo ikihusisha Wakurugenzi wa Bodi na Kamati ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: September 2020
UJENZI WA KITUO CHA AFYA MUGETA, HALMASHAURI YA WILAYA YA BUNDA MKOANI MARA
Nyumba ya mtumishi kituo Cha afya Mugeta, Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara Jengo la Upasuaji kituo Cha afya Mugeta, Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara Jengo la maabara katika kituo cha afya Mugeta Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara Chumba cha kuifadhia maiti katika kituo cha …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI WA SOMANGA MKOANI LINDI UNATARAJIWA KUKAMILIKA BAADA YA SIKU 50
Mradi wa Maji wa Somanga katika Wilaya ya Kilwa, mkoani Lindi unatarajiwa kukamilika baada ya siku 50 tayari kuhudumia vijiji vya Somanga Kaskazini na Kusini kwa wananchi zaidi ya 8,000 kwa gharama ya Sh. mil 400 chini ya utekelezaji wa wataalam wa ndani kupitia mpango wa PfR.
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AZINDUA REA KITONGOJI KWA KITONGOJI
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani akizungumza na wananchi Kitongoji cha Migombani,kijiji cha Bukene, Wilaya ya Nzega, Mkoani wa Tabora(hayapo pichani), wakati wa uzinduzi wa mradi wa umeme kwa kila kitongoji nchini uliofanyika, Septemba 24,2020,mkaoni humo. Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amezindua rasmi usambazaji wa Umeme katika kila kitongoji nchini ambapo …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI APIGA MARUFUKU MKANDARASI KUPEWA KAZI ZA REA ZAIDI YA MKOA MMOJA
Na Zuena Msuya na Hafsa Omari, Tabora Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amesema kuanzia sasa ni marufuku kwa wakandarasi watakaotekeleza miradi Ya usambazaji wa umeme vijijini( REA), kupewa kazi katika mikoa miwili na badala yake sasa watapewa kwa kila wilaya bila kujali idadi ya vijiji vilivyopo. Dkt. Kalemani alisema …
Soma zaidi »KONGAMANO LA NNE LA TEHAMA KUFANYIKA OKTOBA 7 HADI 9
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Samson Mwela akizungumza katika Mkutano wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula (katikati) na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu Kongamano la Nne la TEHAMA litakalofanyika Oktoba 7-9 katika Ukumbi wa Mikutano wa …
Soma zaidi »MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO WAUNGANISHA VISIWA VYA UNGUJA NA PEMBA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainabu Chaula akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya kushuhudia utiaji saini wa mkataba wa makubaliano wa kuunganisha Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano na visiwa vya Unguja na Pemba wakiwa kwenye ukumbi wa Wizara ya …
Soma zaidi »KITUO CHA AFYA BWISYA CHAPANDISHWA HADHI KUWA HOSPITALI YA WILAYA – MAJALIWA
Rais Dkt. John Pombe Magufuli amepandisha hadhi ya kituo cha afya cha Bwisya kilichoko Ukara wilayani Ukerewe, Mwanza kiwe na hadhi ya hospitali ya wilaya kuanzia leo. Hayo yamesemwa na mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Kassim Majaliwa wakati akizungumza na wakazi …
Soma zaidi »RUWASA KUMALIZA KERO YA MAJI KATA YA RUTAMBA
Serikali kupitia Wakala wa Usambazaji Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) inatekeleza mradi wa maboresho wa Mradi wa Maji wa Rutamba kwenye Halmashauri ya Mtama katika mkoa wa Lindi kwa lengo la kumaliza changamoto ya upatikanaji wa majisafi na salama kwa wakazi wa kijiji hicho. Meneja wa RUWASA mkoa …
Soma zaidi »DOTO JAMES: MIRADI YA KIMKAKATI INAYOTEKELEZWA NCHINI NI KWA MUJIBU WA SHERIA
Na. Farida Ramadhani na Ivona Tumsime, WFM, Dodoma Serikali imesema kuwa miradi yote mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa nchini imeshapangwa ndani ya bajeti za kisekta za Wizara husika ambazo hupitishwa na Bunge kila mwaka. Hayo yameelezwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Doto James wakati wa ufunguzi …
Soma zaidi »