Hifadhi ya Taifa Serengeti imeshinda Tuzo ya kuwa Hifadhi Bora katika Bara la Afrika kwa mwaka 2020. Tuzo hiyo imetangazwa Novemba 9,2020 na Taasisi ya World Travel Awards (WTA) ya nchini Marekanl kwa njia ya Mtandao. Hii ni mara ya pili kwa Hifadhi ya Taita Serengeti kushinda katika Kundi la …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: November 2020
MKUTANO WA USHIRIKIANO WA UCHUMI NA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA CHINA UMEFANYIKA JIJINI JINHUA
Mkutano wa Ushirikiano wa Uchumi na Biashara kati ya Afrika na China umefanyika jijini Jinhua katika Jimbo la Zhejiang na kuhudhuriwa na Wanadiplomasia wa Nchi za Afrika, viongozi wa Serikali ya Jimbo la Zhejiang na Mji wa Jinhua pamoja na wafanyabiashara wa China na Afrika. Katika mkutano huo Naibu Katibu …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA KUAPISHWA MWANASHERIA MKUU
Makamu wa Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma pamoja na Spika Job Ndugai wakiwa katika hafla ya kuapishwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. Adelardus Kilangi IKulu Chamwino Leo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli na Makamu …
Soma zaidi »WAKUU WA MIKOA,WAKUU WA WILAYA MSIWE NA WASIWASI CHAPENI KAZI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatoa hofu Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwani ameanza nao na atamaliza nao. Rais Magufuli amesema hayo katika hafla ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MUHULA WA PILI KATIKA AWAMU YA TANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za Uapisho wake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Muhula wa Pili katika Awamu Tano leo tarehe 05 Novemba 2020 katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Rais …
Soma zaidi »LUKUVI APOKEA TAARIFA YA AWALI YA UHAKIKI ENEO LA MGOGORO MTAKUJA DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amepokea taarifa ya awali ya uhakiki wa eneo lenye Mgogoro la Mtakuja lilipo Kata ya Chang’ombe mkoani Dodoma. Taarifa ya uhakiki wa eneo hilo lenye ukubwa hekta kumi uliwasilishwa leo tarehe 4 Oktoba 2020 katika …
Soma zaidi »JAFO AWAJIA JUU TARURA, UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amewataka Wakala wa barabara za vijijini na Mijini(TARURA) wanaosimamia ujenzi barabara ya mzunguko katika Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Dodoma kukamilisha ujenzi huo ndani ya muda uliowekwa. Jafo ametoa agizo hilo wakati alipotembelea eneo …
Soma zaidi »MAKAA YA MAWE RUVUMA YAINGIZA BILIONI 400 NA KUTOA AJIRA 700
Madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni 3.3 ambayo …
Soma zaidi »RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AAPISHWA RASMI
Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.
Soma zaidi »