Maktaba ya Mwezi: November 2020

MKUTANO WA USHIRIKIANO WA UCHUMI NA BIASHARA KATI YA AFRIKA NA CHINA UMEFANYIKA JIJINI JINHUA

Mkutano wa Ushirikiano wa Uchumi na Biashara kati ya Afrika na China umefanyika jijini Jinhua katika Jimbo la Zhejiang na kuhudhuriwa na Wanadiplomasia wa Nchi za Afrika, viongozi wa Serikali ya Jimbo la Zhejiang na Mji wa Jinhua pamoja na wafanyabiashara wa China na Afrika. Katika mkutano huo Naibu Katibu …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Adelardus Lubango Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja wa Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 09 Novemba 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli …

Soma zaidi »

WAKUU WA MIKOA,WAKUU WA WILAYA MSIWE NA WASIWASI CHAPENI KAZI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amewatoa hofu Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Makatibu Wakuu na Makatibu Tawala na kuwataka kuendelea kufanya kazi kwa bidii kwani ameanza nao na atamaliza nao. Rais Magufuli amesema hayo katika hafla ya kumwapisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali Prof. …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHWA KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KWA MUHULA WA PILI KATIKA AWAMU YA TANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria sherehe za Uapisho wake kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Muhula wa Pili katika Awamu Tano leo tarehe 05 Novemba 2020 katika sherehe zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma. Rais …

Soma zaidi »