Maktaba ya Mwaka: 2020

WAZIRI WA MADINI BITEKO AZUIA URASIMU KATIKA SEKTA YA MADINI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini Prof. Simon Msanjila akizungumza jambo wakati wa kikao cha menejimenti cha kumkaribisha rasmi Waziri wa Madini Doto Biteko ofisini tarehe 10 Disemba, 2020 Mtumba Jijini Dodoma. Asteria Muhozya na Steven Nyamiti, Dodoma Watumishi wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wamekumbushwa kuzingatia maeneo muhimu …

Soma zaidi »

WAZIRI LUKUVI AWATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUJIPANGA UPYA

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka watendaji wa sekta ya ardhi kujipanga upya kwa kuwa wabunifu katika utekelezaji majukumu na kusisitiza kwamba hatomvumilia mtendaji atakyeshindwa kutekeleza majukumu yake. Aidha. Alisema katika kuhakikisha utendaji wa sekta …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AKUTANA NA MENEJIMENTI WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongea katika kikao cha Waziri wa Wizara hiyo Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile na wajumbe wa Menejimenti ya Wizara hiyo mara baada ya kuapishwa Ikulu ya Chamwino, Dodoma kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Wizara hiyo, Mji wa Serikali …

Soma zaidi »

MSIKUBALI KURUBUNIWA NA WASIOTUTAKIA MEMA – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania hususani vijana wasikubali kurubuniwa na makundi ya watu wasio na mapenzi mema na nchi yetu ambao watataka kuwatumia kwa maslahi yao binafsi na hatimaye kuhatarisha usalama na amani ya nchi yao. Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo (Alhamisi, Desemba 10, 2020) wakati akifungua mkutano Mkuu wa …

Soma zaidi »

WAZIRI UMMY MWALIMU KUSIMAMIA MASUALA YA MUUNGANO NA MAZINGIRA YANAYOGUSA MAISHA YA WANANCHI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu akizungumza na Menejimenti ya Ofisi yake (hawapo pichani) mara baada kupokelewa rasmi katika Ofisi za Makamu wa Rais katika Mji wa Serikali Mtumba Dodoma mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, …

Soma zaidi »

BASHUNGWA NA ULEGA WAFIKA OFISINI NA KUANZA KAZI RASMI MUDA MCHACHE BAADA YA KUAPISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi (kulia) akimkaribisha Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe Innocent Lugha Bashungwa alipowasili ofisini Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma muda mchache baada ya ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI NA NAIBU MAWAZIRI ALIOWATEUA KATIKA IKULU YA CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Mawaziri pamoja na Manaibu Waziri katika hafla iliyofanyika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na viongozi mbalimbali mara …

Soma zaidi »

HOSPITALI YA UHURU YAUNGANISHWA NA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, (iliyokuwa Sekta ya Mawasiliano), Dkt Jim Yonazi akikagua uingizaji wa fibre za Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika Hospitali ya Uhuru Wilayani Chamwino jijini Dodoma, jana. Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari iliyokuwa Sekta ya …

Soma zaidi »

SERIKALI YASAINI MKATABA NA KOREA UTAKAOWEZESHA TANZANIA KUPATA MIKOPO YENYE MASHARTI NAFUU

Balozi wa Korea nchini, Cho Tae-Ick akizungumza baada ya kusaini mkataba huo baina ya nchi yake na Serikali ya Tanzania leo jijini Dodoma. Serikali ya Tanzania imesaini mkataba na Serikali ya Jamhuri ya Korea utakaowezesha kupata mikopo kutoka mfuko wa ushirikiano wa maendeleo ya kiuchumi wa Korea (EDCF). Mkataba huo …

Soma zaidi »