Maktaba ya Mwezi: March 2021

RAIS SAMIA AONGOZA VIONGOZI WA NDANI NA NJE YA NCHI KUMUAGA ALIYEKUWA RAIS WA TANZANIA HAYATI DKT. MAGUFULI, JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa na Viongozi wa Nchi na Serikali kutoka Mataifa mbalimbali Duniani kwenye Mazishi ya Kitaifa ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Jamhuri JIjini …

Soma zaidi »

KAMATI YA BUNGE VIWANDA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU

Na Eliud Rwechungura Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. David Kihenjile (Mb) na Makamu Mwenyekiti Mhe. Eric Shigongo imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) katika mwendelezo wa ziara za kamati hiyo katika mkoa wa Pwani na …

Soma zaidi »

WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula akizungumza wakati akifunga kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria Lugano Rwetaka na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AIOGONZA KAMATI KUDUMU YA BUNGE PAC KUUKAGUA MRADI WA MBIGIRI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiongoza kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) kuukagua mradi wa uzalishaji sukari katika shamba la Mbigiri,  wilayani kilosa mkoani Morogoro. Akiongea wakati wa kikao na Kamati hiyo …

Soma zaidi »