UJENZI WA JENGO LA KITUO JUMUISHI CHA UTOAJI HAKI

Jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jengo hili la ghorofa 3 litakuwa na Mahakama ya Mwanzo, Wilaya na Mkoa, ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama, Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka.
Muonekano wa jengo linalojengwa na Mahakama ya Tanzania la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki (IJC) lililopo eneo Kihonda, Morogoro. Jengo hili litakuwa na sakafu nne yaani gorofa 3 na itajumuisha ngazi zote za Mahakama kuanzia Mahakama Kuu mpaka Mahakama ya Mwanzo pamoja na ofisi za baadhi ya wadau wa Mahakama wakiwemo Polisi, Ustawi wa Jamii, Mawakili na Waendesha Mashitaka.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Uzinduzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya UCSAF Dodoma: Kuimarisha Mawasiliano Vijijini

25 Aprili 2024, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *