Makamu wa Rais

WAZIRI ZUNGU ATAKA KUSIMAMIWA VIZURI KWA TAFITI ZINAZOFANYIKA KUHUSU BIOTEKNOLOJIA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Mussa Azzan Zungu ameelekeza kusimamiwa vizuri kwa tafiti zinazofanyika kuhusu bioteknolojia na kuishauri Serikali kuhusu matumizi yake salama. Zungu ametoa maelekezo hayo hilo leo Agosti 12, 2020 wakati akizindua Kamati ya Kitaifa ya Usimamizi wa Matumizi Salama ya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA APIGA MARUFUKU UOKOTAJI WA CHUPA ZA PLASTIKI DAMPO

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mussa Sima akitoa maelekezo kwa Bw. Vanika Ndelekwa Mkuu wa Idara ya Mazingira wa Jiji la Mbeya mara baaada ya Naibu Waziri Sima kutembelea dampo la Nsagala Jijini Mbeya Halmashauri ya Jiji la Mbeya imeagizwa  kuanzisha programu maalumu ya kutoa …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAJA SABABU ZA KUOMBA TENA KUGOMBEA URAIS

Rais Dkt. John Magufuli amesema kuwa suala lililomfanya kuchukua fomu ya kugombea muhula wa pili ni kuendelea kuwatumikia watanzania kwa kuendelea na kazi aliyoianza. Rais Magufuli amesema hayo wakati akizungumza na wanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Ofisi za CCM makao Makuu mjini Dodoma mara baada ya kutoka kuchukua …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI SIMA ATOA MIEZI MITATU KUJENGWA MTAMBO WA KUCHAKATA MAJI MACHAFU KATIKA KIWANDA CHA KEDS KIBAHA

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Muungano na Mazingira  Mhe. Mussa Ramadhani Sima amefanya ziara katika kiwanda cha Keds Tanzania Company ltd kilichopo wilaya ya Kibaha Mkoa wa Pwani, ili kujionea namna wanavyohifadhi mazingira wakati wa uzarishaji wake. Katika ziara hiyo Mhe. Sima aliambatana na Mkuu …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Uzinduzi  wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja  vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi …

Soma zaidi »