MAKAMU WA RAIS SAMIA AKUTANA NA MENEJIMENTI YA OFISI YAKE Matokeo ChanyA+ August 7, 2020 Makamu wa Rais Acha maoni 1,336 Imeonekana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika leo Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Menejimenti ya Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira katika kikao kazi kilichofanyika leo Agosti 07,2020 katika Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest