MAKAMU WA RAIS AZINDUA MAONESHO YA NANENANE MKOANI SIMIYU

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akilihutubia Taifa kwenye Sherehe ya Uzinduzi  wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja  vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi  Muongozo wa Kitaifa wa Uongezaji wa Virutubisho katika matumizi ya mazao ya Chakula Mkuu wa Mkoa wa Mara Mhe. Adam Malima mara baada ya kuuzindua Muongozo huo leo Agosti 01,2020  katika  uzinduzi wa Sherehe ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane kitaifa iliyofanyika katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Muongozo wa Kitaifa wa Uongezaji wa Virutubisho katika matumizi ya mazao ya Chakula wakati wa  Uzinduzi  wa Maonesho ya Sikukuu ya Wakulima Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020. ambapo ujumbe wa mwaka huu Nanenane kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Chagua Kiongozi Bora 2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia baadhi ya Mazao ya aina mbalimbali ikiwemo Vitunguu maji, Nyanya na Viazi Mviringo alipotembelea mabanda maonesho katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimsikiliza Mkurugenzi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Mlingano Dkt. Catherine Senkoro alipokuwa akimuelezea kuhusu Utafiti wa mazao ya aina mbalimbali ya Kilimo alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia mazalio ya Samaki alipotembelea Banda ya JKT katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangali Ng’ombe wa Maziwa kwenye mabanda ya maonesho katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Baadhi ya watumishi wa Kituo cha Utafiti wa Kilimo TARI Mlingano alipotembelea Banda la Taasisi ya Utafiti wa Kilimo TARI katika Viwanja vya Maonesho ya Nanenane vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Agosti 01,2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

Uzinduzi wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya UCSAF Dodoma: Kuimarisha Mawasiliano Vijijini

25 Aprili 2024, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *