Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ndiye Mgeni Rasmi Umafanyika Mkoani Simiyu katika viwanjwa vya Nyakabimbi. Fuatilia moja kwa moja katika link hii..
Soma zaidi »UFAFANUZI WA UDAHILI WA WANAFUNZI MWAKA WA KWANZA CHUO KIKUU DAR ES SALAAM.
Ni ule wa kufutiwa kuchaguliwa kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza 2018/19 zaidi ya 680. Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam – Taaluma Prof. Bonaventure Rutinwa atoa ufafanuzi. Fuatilia katika video hii Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Prof. Joyce Ndalichako atoa maelekezo kwa Chuo …
Soma zaidi »BARRICK GOLD CORPORATION YASALIMU AMRI KWA SERIKALI YA TANZANIA
Yakubali kampuni yake ya Acacia ilifanya makosa katika kuendesha shughuli zake nchini. Ni baada ya kubainika kwa wizi wa madini katika makinikia na serikali kuzuia makontena yote bandarini, Mkuu wa Barrick alijitokeza na kuomba suluhu wayamalize. Baada ya siku chache, timu ya viongozi waandamizi na wanasheria wa Barrick, walifika nchini …
Soma zaidi »DKT. SHEIN AFUNGA MAONESHO YA KWANZA YA UTALII ZANZIBAR
TUNAYO NGUVU KAZI YA TAIFA YA KUTOSHA KUJENGA UCHUMI IMARA NA MADHUBUTI KWA NCHI YETU
Amtia nguvu Rais Magufuli aendelee kufufua uchumi wa nchi yetu na asikate tamaa. Asisitiza kuwa serikali ya awamu hii inaweza kufanya bajeti ya nchi yetu itokane na makusanyo ya mapato. Ashauri uwekezaji uendelee kuhusishe wazawa. Asisitiza serikali iendelee kuwa imara na kutumia nguvu kazi (vijana) wajenge uchumi madhubuti wa nchi …
Soma zaidi »TANZANIA KUWA NA SHERIA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO
Itahusu mikopo midogo midogo kama VIKOBA na ile ya mtu binafsi kukukopesha kwa siku/wiki/ mwezi au miezi miwili, mitatu kwa riba kubwa. Ili kulinda haki na wajibu ya mkopaji na mkopeshaji. Ni kauli ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alisema, “Nchi yetu kwa muda mrefu.. tumekuwa tukienda bila …
Soma zaidi »JESHI LA POLISI LATHIBITHISHA KUPATIKANA KWA MFANYABIASHARA MOHAMED DEWJI AKIWA NA AFYA NJEMA.
Kamanda wa Kanda Maalum athibithisha Asema kwa mujibu wa maelezo ya awali ya MO mwenyewe watekaji walitaka pesa. Taarifa za kina zaidi zitaletwa na Jeshi la Polisi
Soma zaidi »Ni Lazima Mshinde! – Rais Magufuli
Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) kuongeza juhudi za kupata ushindi katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo ya kufuzu fainali za michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika mwakani nchini Cameroon. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa …
Soma zaidi »Late Live: IGP AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
Azungumzia hatua muhimu za oparesheni mbalimbali za jeshi la polisi kwa miezi mitano (Machi hadi Oktoba) Oparesheni hiyo imeweza kukamata magari ya wizi 42 na yote yanaletwa Dar es Salaam kwaajili ya kuwarahisishia wananchi kwaajili ya utambuzi katika tarehe itakayotangazwa. Hali kadhalika, silaha mbalimbali 190 na risasi nyingi zimekamatwa katika …
Soma zaidi »