JESHI LA POLISI LATHIBITHISHA KUPATIKANA KWA MFANYABIASHARA MOHAMED DEWJI AKIWA NA AFYA NJEMA.

MOHAMED DEWJI NA KAMANDA MAMBOSASA
Mfanyabiashara Bilionea nchini, Nohamed Dewji – MO akipewa pole na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum, Lazaro Mambosasa baada ya Jeshi hilo kuthibitisha kumpata usiku wa kuamkia Jumamosi tarehe 20 Septemba, 2018 akiwa na afya njema. MO alitekwa alfajiri ya siku ya alhamisi tarehe 11 Oktoba, 2018 katika hotel ya Colosseum alipoenda kufanya mazoezi ya viungo.

 

  • Kamanda wa Kanda Maalum athibithisha
  • Asema kwa mujibu wa maelezo ya awali ya MO mwenyewe watekaji walitaka pesa.
  • Taarifa za kina zaidi zitaletwa na Jeshi la Polisi

 

 

Ad

Unaweza kuangalia pia

KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWEKEZA, TUMIENI FURSA ZILIZOPO – WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *