Hafsa Omar-Morogoro Naibu waziri wa Nishati, Subira Mgalu, Julai 2,2020 amefanya ziara ya ukaguzi ya maendeleo ya ujenzi wa Mradi mkubwa wa kufua Umeme kwa Maji wa Julius Nyerere(JNHPP) unaotekelezwa kwenye mto Rufiji. Katika ziara yake hiyo, aliambatana na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhandisi Stella Manyanya pamoja na …
Soma zaidi »TANESCO WAPEWA SIKU TANO KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WA KIDAHWE
Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kidahwe,kata ya Kidahwe Wilaya ya Kigoma vijiji, Mkoani Kigoma,wakati akiwa kwenye uzinduzi wa kuanza malipo kwa wananchi ambao wameridhia kutoa ardhi yao kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Kupoza umeme cha Kidahwe. Waziri wa Nishati,Dkt Medard Kalemani ametoa siku …
Soma zaidi »WATANZANIA WAMEANZA KUNUFAIKA NA MRADI WA JNHPP HATA KABLA HAUJAKAMILIKA – KATIBU MKUU NISHATI
Veronica Simba – Dodoma Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amesema kuwa mradi mkubwa wa kufua umeme wa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) umeanza kuwanufaisha Watanzania hata kabla ya kukamilika. Ameyasema hayo kwa njia ya simu, leo Juni 22, 2020 alipofanya mahojiano na mwandishi wa habari hii …
Soma zaidi »BODI YA TANESCO IMEFANYA KAZI NZURI – WAZIRI KALEMANI
Veronica Simba – Dodoma Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani ameipongeza Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), akisema imefanya kazi nzuri katika kushughulikia changamoto mbalimbali za umeme nchini. Alibainisha hayo Juni 17, 2020 alipokutana na kuzungumza na Bodi hiyo jijini Dodoma, akiwa ameambatana na Naibu wake, Subira …
Soma zaidi »TANESCO INATARAJIA KUKUSANYA TAKRIBAN SHILINGI BILIONI 6 ZA ZIADA KATIKA MAUZO YA UMEME MKOANI GEITA
Mkurugenzi Mtendaji TANESCO Dkt. Tito Mwinuka akiwa katika ziara ya ufuatiliaji na ukaguzi wa Mradi wa kusafirisha umeme kutoka Bulyanhulu hadi Geita kilovolti 220 amesema TANESCO inatarajia kukusanya takriban Shilingi bilioni 6 za ziada katika mauzo ya umeme Mkoani Geita.Dkt. Mwinuka alisema kiasi hicho cha fedha ni kutoka katika Mgodi …
Soma zaidi »SERIKALI YAANZA RASMI BIASHARA YA KUUZA MAFUTA NCHINI
Na Zuena Msuya, Mara Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua rasmi biashara ya kuuza na kusambaza mafuta nchini kwa kufungua kituo cha kwanza kuuza mafuta ya Petroli na Dizeli cha Serikali kitakachosimamiwa na Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) kupitia Kampuni yake Tanzu ya Mafuta ( TANCOIL). Aidha …
Soma zaidi »UCHIMBAJI KINA CHA LANGO LA KUINGILIA MAJI KWENYE MITAMBO JNHPP WAKAMILIKA
Mhandisi Dismas Mbote Ujenzi wa eneo la lango (Water Intake) la kuingilia maji kwenda kwenye mitambo ya kufua umeme katika Mradi wa Julius Nyerere (Mw 2115) unatarajiwa kukamilika Februari 2022. Mhandisi Dismas Mbote, msimamizi wa ujenzi wa njia za maji pamoja na Bwawa kwenye Mradi wa Julius Nyerere amesema utekelezaji …
Soma zaidi »KATIBU MKUU NISHATI AKAGUA UZALISHAJI WA GESI ASILIA LINDI NA MTWARA
Na Zuena Msuya, Mtwara Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said amefanya ziara ya kutembelea na kukagua Miundombuni ya uchimbaji, uchakataji na usafirishaji wa gesi asilia katika Mikoa ya Lindi na Mtwara. Mhandisi Zena alifanya ziara hiyo mwishoni mwa juma kwa kukagua visima vya kuchimba gesi vilivyopo Mnazi …
Soma zaidi »MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI, WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE
Na Zuena Msuya Lindi, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amesema kuwa Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini ( TPDC) itasambaza na kuunganisha bila malipo (bure) miundombinu ya usambazaji wa Gesi asilia kwa matumizi ya majumbani kwa wateja wa awali katika mikoa yote nchini itayofikiwa na huduma hiyo. …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri ili kumkumbuka na kumuombea aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Marehemu Balozi Augustine Mahiga …
Soma zaidi »