Recent Posts

WAZIRI JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2021

Na. Majid AbdulkarimJumla ya wanafunzi 759,706 sawa na asilimia 91.1 ya wanafunzi waliofaulu wakiwemo wavulana 368,174 na wasichana 391,532 wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha kwanza mwaka 2021.Kauli hiyo imebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Selemani Jafo wakati …

Soma zaidi »

SIMAMIENI MIRADI YA MAENDELEO – NAIBU WAZIRI SILINDE

Na Angela Msimbira SUMBAWANGANaibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa David Silinde amezitaka Halmashauri zote nchini kuhakikisha zinasimamia kikamilifu miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri zao ili miradi hiyo iweze kukamilika kwa wakatiNaibu Waziri Silinde ametoa agizo hilo, leo kwenye ziara yake ya Kikazi kukagua …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAGIZA WATUMISHI 22 TRA WASIMAMISHWE KAZI

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, amemwagiza Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania-TRA, Dkt. Edwin Mhede kuwasimamisha kazi watumishi 22 wa Mamlaka hiyo wakiwemo baadhi ya Maneja wa TRA wa Mikoa ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazowakabili za kushindwa kutekeleza majukumu yao ipasavyo kwa kujihusha na …

Soma zaidi »

DKT CHAULA ARATIBU MKAKATI WA KUIPELEKA JAMII YA TANZANIA KIDIJITALI

Katibu Mkuu Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akiongoza kikao cha kamati ya kujadili na kupitisha mpango mkakati wa kuipeleka jamii ya Tanzania katika mfumo wa kidijitali, katika ukumbi wa Wizara hiyo Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma, kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo …

Soma zaidi »

WANYONGE NI LAZIMA WALINDWE NA SHERIA – DKT MWIGULU

Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akisisitiza jambo wakati akizungumza kwenye kikao kazi na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Kahama akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja Mkoani Shinyanga tarehe 15 Disemba 2020. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Katiba na …

Soma zaidi »

WAZIRI KABUDI AHIMIZA USHIRIKIANO MIONGONI MWA NCHI ZA OACPS

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye pia Rais wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Afrika, Caribbean na Pasific (OACPS) jana tarehe 14 Disemba, 2020 amefungua na kuongoza Mkutano wa Jumuiya hiyo ambao uanatarajiwa kufanyika kwa kipindi cha …

Soma zaidi »