Recent Posts

WAWEKEZAJI WAZAWA WAJITOSA KATIKA UCHUMI WA BLUU

Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Abdallah Hussein Kombo amesema endapo Zanzibar itajikita zaidi kwenye uchumi wa buluu kupitia shughuli za uvuvi visiwani hapa utasaidia kukuza ajira na kukuza uchumi wa Zanzibar. Jana Waziri huyo alitekeleza miongoni mwa maagizo aliyoyatoa Rais wa Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi kuhusu kukutana na …

Soma zaidi »

MIRADI YA MAJI CHALINZE INATARAJIWA KUKAMILIKA MWAKA 2021

Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete akizungumza na Meneja DAWASA – Chalinze, Bw. Onest Makoi Meneja wa Dawasa wa Chalinze mkoani Pwani amesema kuwa miradi maji inayoendelea katika jimbo la Chalinze inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwaka 2021. Amezungumza hayo wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la …

Soma zaidi »

MAWAZIRI SADC – TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA

Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama. Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA

Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango,  Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …

Soma zaidi »

MAKATIBU WAKUU SADC -TROIKA WAJADILI HALI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA

Na Mwandishi wetu, Gaborone Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana. Awali, Mkutano wa Makatibu Wakuu ulifunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Botswana, Bw. …

Soma zaidi »

RUWASA NA DAWASA KUMALIZA KERO YA MAJI BAGAMOYO

 Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoWakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) na Dawasa wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamedhamiria kumaliza kero ya maji kwa wakazi wilaya Bagamoyo , pamoja na Mji wa Vikawe uliopo Kibaha Mji.Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani humo Mhandisi James Kionaumela na …

Soma zaidi »