Benki ya NMB imezindua mashine ya kutolea fedha (Automated Teller Machine – ATM) ya kwanza nchini Tanzania yenye uwezo wa kubadili fedha za kigeni kwenda shilingi za kitazania. Hatua hiyo imetajwa kuwa ni muhimu kwa Benki ya NMB ya utoaji huduma kwa Watanzania wanaosafiri kwenda nje na watalii wanaokuja nchini …
Soma zaidi »Recent Posts
WAZIRI MKUU MAJALIWA – MRADI WA KUFUA UMEME KWA KUTUMIA MAJI WA JNHPP NI MRADI MKUBWA NA NI MRADI WA KIMKAKATI
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa(wapili kushoto) kwa pamoja na Waziri wa Umeme na nishati jadidifu Prof. Dr. Mohamed Shaker El-Markabi (wakwanza kushoto), Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati Mhandisi Zena Saidi na aliyekuwa Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani wakibonyeza kitufe maalum kuashiria Uzinduzi …
Soma zaidi »WANAFUNZI WAPYA 5,168 WA MWAKA WA KWANZA WAPANGIWA MIKOPO YA TZS 19.9 BILIONI
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetangaza orodha ya wanafunzi 5168 wa awamu ya pili wa mwaka wa kwanza waliopangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 19.9 bilioni. Taarifa iliyotolewa katika vyombo vya habari na Mkurugenz Mtendaji wa HESLB, Abdul-Razaq Badru inasema hadi leo (Jumanne, Novemba 17, …
Soma zaidi »PROF. KABUDI ALIVYOPOKELEWA WIZARANI BAADA YA KULA KIAPO IKULU CHAMWINO
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi wa wizara alipokaribishwa Wizarani baada ya kuapishwa. Matukio katika picha yakionesha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi alipopokelewa na …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AWAAGIZA WATENDAJI WA WIZARA KUCHAPAKAZI KWA BIDII ZAIDI
Na. Peter Haule na Farida Ramadhani, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango amewataka watumishi wa Wizara yake kuhakikisha wanasimamia kikamilifu mapato na matumizi ya fedha za umma ili kufanikisha malengo ya maendeleo yaliyotolewa na Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, akizindua Bunge la 12. Hayo aliyasema wakati …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA KASSIM MAJALIWA KUWA WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika hafla fupi iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 16 Novemba, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa …
Soma zaidi »SERIKALI ITAKAMILISHA UJENZI WA BARABARA KILOMETA 2,500 ZA LAMI – RAIS MAGUFULI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete mara baada ya kufungua …
Soma zaidi »TUMEPANGA KUNUNUA MELI NANE ZA UVUVI – RAIS DKT. MAGUFULI
Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli amesema kuwa serikali imepanga kununua meli nane za uvuvi ili kuboresha sekta ya uvuvi ili kufikia bahari kuu. Rais Magufuli amesema hayo wakati akifungua Bunge la 12 mjini Dodoma baada ya kumalizika kwa Uchaguzi Mkuu Oktoba 2020, amesema kuwa meli hizo …
Soma zaidi »WABUNGE WAMPONGEZA KASSIM MAJALIWA KUPITISHWA JINA LAKE KUCHAGULIWA KUWA WAZIRI MUU
Aliyekuwa Naibu spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackoson, ameshinda tena nafasi hiyo kwa kupata kura 350 kati ya Kura 354 zilizopigwa. Naibu Spika wa bunge la 12 Dk.Tulia Ackson kupitia CCM akiwashukuru wabunge waliomchagua kwa kishindo wakati wa Bunge la 12 Jijini Dodoma leo …
Soma zaidi »DC CHONGOLO AFANYA ZIARA UKAGUZI WA MIUNDOMBINU SHULE YA MSINGI BOKO
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Daniel Chongolo ametembelea shule ya msingi Boko kwa lengo la kukagua changamoto zilizojitokeza katika miundombinu ya shule hiyo kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha. Akizungumza na uongozi wa shule katika ziara hiyo Chongolo ameeleza kuwa eneo hilo limekuwa na changamoto ya kujaa maji nyakati za mvua …
Soma zaidi »