Recent Posts

SERIKALI YAKUTANA NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa  na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu – Uwekezaji, Mhe. Angellah Kairuki  wamefanya kikao cha pamoja na wazalishaji wa saruji nchini kwa lengo la kujadili fursa mbalimbali, changamoto na namna bora ya kukuza sekta ya ujenzi nchini kupitia saruji, kikao kilichofanyika …

Soma zaidi »

UTIAJI SAINI HOJA ZA MAKUBALIONO MUUNGANO

Kikao cha Utiaji saini Hati za makubaliano ya kuondoa Hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi, ambapo Hoja 5 zimeondolewa ikiwemo ushirikishwaji wa SMZ kwenye masuala ya Kimataifa na Kikanda na Biashara, Hafla hiyo imefanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kikao cha Utiaji saini …

Soma zaidi »

MIRADI YA UJENZI WA MAHAKAMA YAENDELEA KWA KASI JIJINI DODOMA

 Na Stanslaus Makendi, Mahakama Kuu Dodoma Mahakama ya Tanzania inatekeleza miradi mbalimbali ya ukarabati na ujenzi wa Mahakama nchini kwa lengo la kuboresha miundombinu yake ili kuwa na mazingira wezeshi ya utaoji wa huduma ya utoaji haki kwa ujumla. Mkoa wa Dodoma ni miongoni mwa Mikoa kadhaa nchini ambapo miradi …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATEMBELEA MSIKITI MKUU KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 13 Oktoba, 2020 ametembelea Msikiti Mkuu uliojengwa Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ufadhili wa Mfalme Mohammed VI wa Morocco. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mufti …

Soma zaidi »

MKOA WA KAGERA WAKAMILISHA MIRADI YA MAJI 73

Mkoa wa Kagera umekamilisha jumla ya miradi ya maji 73 yenye thamani ya shilingi 62,516,688,102 hivyo kuongeza hali ya upatikanaji wa huduma ya majisafi na salama kutoka asilimia 42 iliyokuwepo mwaka 2015 katika miji hadi kufika asilimia 65 iliyopo sasa na kwa vijijini kutoka asilimia 53 hadi asilimia 67. Kaimu …

Soma zaidi »

SERIKALI IMEJIPANGA KUTATUA CHANGAMOTO ZA WAWEKEZAJI

Ikiwa ni wiki moja baada Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kutoa maagizo kwa Wizara ya Viwanda na Biashara kufika kwenye kiwanda cha maziwa kinachojegwa kihanga, Wilayani Karagwe ili kutatua changamoto anazozipata Mwekezaji wa kiwanda hicho. Oktoba 12,2020 Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Ludovick …

Soma zaidi »