Recent Posts

NCHI 15 ZARUHUSIWA KULETA WAANGALIZI WA UCHAGUZI MKUU 2020

Balozi wa Umoja wa Ulaya Balozi Manfred Fanti akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi walipokutana kwa mazungumzo leo jijini Dar es Salaam Nchi 15 kupitia Balozi zao hapa nchini zimeruhusiwa kuleta waangalizi wa Kimataifa katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi …

Soma zaidi »

SERIKALI YAFUNGA MASHINE YA KISASA UCHUNGUZI SARATANI YA MATITI ORCI

Serikali imesimika mashine kisasa ya mammography ambayo ni maalum kwa ajili ya kufanya uchunguzi wa saratani ya matiti, katika Taasisi ya Saratani Ocean Road (ORCI).Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa ORCI, Dk. Crispin Kahesa amesema hayo alipozungumza na waandishi wa habari mapema hii leo na kusisitiza kwamba mashine hiyo ipo …

Soma zaidi »

UJENZI WA BOMBA LA MAFUTA KUZALISHA AJIRA 10,000

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni alipowasili kutia saini Waraka wa Pamoja Unaoagiza kuanza haraka mradi wa Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Hoima (Uganda) hadi Tanga (Tanzania) kwenye sherehe fupi iliyofanyika Uwanja …

Soma zaidi »

SERIKALI YAPOKEA GAWIO LA BILIONI 32.9 KUTOKA AIRTEL

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Doto James (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Masoko wa Kampuni ya Airtel Tanzania Bi. Beatrice Singano akifafanua jambo baada ya Kampuni hiyo kutoa gawio na michango ya maendeleo kwa Serikali yenye thamani ya shilingi bilioni 32.99. Kuanzia …

Soma zaidi »