Recent Posts

BILIONI 4 KULIPWA KILA SIKU KWA WAKULIMA WA KOROSHO – MHE HASUNGA

Serikali imetangaza kuongeza kasi ya malipo ya wakulima wa Korosho ili kufikia kiasi cha shilingi Bilioni nne (4) kila siku kwani kufanya hivyo zoezi la malipo kukamilika haraka. Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) ameyasema hayo leo tarehe 29 Novemba 2018 wakati akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi …

Soma zaidi »

Tanzania Inazalisha Chakula Kingi Cha Kutosha – MAKAMU WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Balozi wa Italia nchini Mhe. Roberto Mengoni, Balozi wa Falme za Kiarabu nchini Mhe. Khalifa Abdulrahman Mohamed Al-Marzooqi pamoja na Mkurugenzi wa UNESCO Kanda ya Afrika Bi. Ann …

Soma zaidi »

KASI YA SERIKALI YA JPM KWENYE KOROSHO; SASA VIWANDA VYAAMKA.

  Tanzania ni mmoja wa wazalishaji wakuu zaidi wa korosho katika Afrika, mauzo ya karosho ya Tanzania huchangia asilimia kumi na tano ya fedha za kigeni. Tanzania ni mkulima wa 8 mkubwa zaidi duniani na wa 4 katika Afrika. Takwimu iliyotolewa mwaka 2012 na Shirika la Chakula na Kilimo la …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI NA MKURUGENZI WA CRDB

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mhe. Hamdi Abuali, Balozi wa Palestina; Mhe. Shinichi Goto, Mhe. Balozi wa Japan na Bwana Abdulmajid Nsekela, Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB. Makamu wa Rais alianza kuonana na Mhe. Hamdi …

Soma zaidi »

PROFESA MBARAWA AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA MAJI MUKABUYE

Waziri wa Maji, Mhe. Profesa Makame Mbarawa ameiagiza Kampuni ya KGG Investment Ltd & Tanafri Group Ltd inayojenga Mradi wa Maji wa Mukabuye kuhakikisha inakamilisha mradi huo ifikapo mwezi Disemba, 2018 ili wakazi wa Mukabuye na vijiji jirani wapate huduma ya majisafi na salama. Profesa Mbarawa ametoa maagizo hayo wakati …

Soma zaidi »