Recent Posts

TANZANIA KUWA NA SHERIA YA MIKOPO MIDOGO MIDOGO

Itahusu mikopo midogo midogo kama VIKOBA na ile ya mtu binafsi kukukopesha kwa siku/wiki/ mwezi au miezi miwili, mitatu kwa riba kubwa. Ili kulinda haki na wajibu ya mkopaji na mkopeshaji. Ni kauli ya Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan. Alisema, “Nchi yetu kwa muda mrefu.. tumekuwa tukienda bila …

Soma zaidi »

Ni Lazima Mshinde! – Rais Magufuli

Rais  Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amewataka wachezaji wa timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars) kuongeza juhudi za kupata ushindi katika michuano mbalimbali inayoshiriki ikiwemo ya kufuzu fainali za michuano ya Afrika (AFCON) itakayofanyika mwakani nchini Cameroon. Mhe. Rais Magufuli amesema hayo leo alipokutana na kuzungumza na wachezaji wa …

Soma zaidi »

Late Live: IGP AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

Azungumzia hatua muhimu za oparesheni mbalimbali za jeshi la polisi kwa miezi mitano (Machi hadi Oktoba) Oparesheni hiyo imeweza kukamata magari ya wizi 42 na yote yanaletwa Dar es Salaam kwaajili ya kuwarahisishia wananchi kwaajili ya utambuzi katika tarehe itakayotangazwa. Hali kadhalika, silaha mbalimbali 190 na risasi nyingi zimekamatwa katika …

Soma zaidi »

MAKAMU WA RAIS – SEKTA YA UTALII INAKUA KWA KASI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Sekta ya Utalii imeendelea kukua kwa kasi sana Duniani kutokana na maendeleo ya teknolijia na upatikanaji taarifa. Makamu wa Rais aliyasema hayo jana jioni wakati alipokutana na Wadau wa sekta ya utalii katika Mchapalo ulioandaliwa na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AENDELEE KUFUFUA UCHUMI NCHI HII IJITEGEMEE – DKT. MAUA DAFTARI

“(Rais Magufuli) Aendelee kufufua uchumi wa nchi hii tujitegemee. Kama tuna Rasilimali zote tulizonazo, kwanini bajeti yetu iwe ni ya kusaidiwa.. kwenye kikombe kuomba kwa watu; why!? Bajeti yetu itokane na makusanyo yetu! Na tunao uwezo wa kufanya hivyo! Anayetaka ku-invest (kuwekeza) aje a-invest.. kwenye agriculture (kilimo).. lakini na Watanzania …

Soma zaidi »

TAMASHA LA KIMATAIFA LA UTALII LAZINDULIWA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema kwamba maonyesho ya Utalii yanayofanyika Zanzibar ni muhimu kwa Serikali na wananchi kwa kuwa yamelenga kuitangaza Zanzibar na sekta ya utalii ambayo ndio muhimili mkuu wa uchumi. Dk. Shein aliyasema hayo katika viwanja vya hoteli ya …

Soma zaidi »