Recent Posts

KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA SADC KIKIENDELEA

Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameendelea na kikao chao kwa siku ya pili ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa baraza la mawaziri wa SADC unaotarajiwa kufanyika tarehe 12 – 13 Machi, 2021 kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam.    Katibu Mkuu Wizara ya …

Soma zaidi »

UFARANSA KUENDELEZA AWAMU YA TANO YA MRADI WA MABASI YA MWENDOKASI

Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Manfredo Fanti akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …

Soma zaidi »

DKT. KALEMANI AZINDUA MATUMIZI YA GESI ASILIA KATIKA MAGARI YA DANGOTE

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua matumizi ya Gesi asilia katika magari (CNG) ya kampuni ya kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote katika kufanya safari zake badala ya kutumia mafuta. Dkt. Kalemani alifanya uzinduzi huo wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Mtwara ya kutembelea Kiwanda cha Dangote, kukagua …

Soma zaidi »

KISWAHILI CHAPENDEKEZWA KUTUMIKA RASMI SADC

Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Lugha ya Kiswahili imependekezwa kuanza kutumika rasmi katika majadiliano kwenye vikao vya ngazi ya baraza la mawaziri na katika utendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Pendekezo hilo limewasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …

Soma zaidi »