Recent Posts

TANESCO DODOMA YAPEWA MIEZI 6, MAKAO MAKUU YA NCHI KUPATA UMEME YOTE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kuwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia sasa, Vijiji na maeneo yote ya mkoa huo yawe yamepata umeme, kuunganisha na kuwawashia wateja, atakayeshindwa kutekeleza hilo atakuwa amejifukuza kazi mwenyewe. Dkt. Kalemani alisema hayo, wakati wa …

Soma zaidi »

SERIKALI KUWEKA NGUVU UZALISHAJI WA MAZAO YA MAFUTA NCHINI

Waziri wa Kilimo Profesa Adolf Mkenda amesema serikali inaweka nguvu kubwa katika uzalishaji wa mazao ya mafuta ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafuta inayotokea nchini na kupunguza kuagiza mafuta kutoka nje ya nchi. Akizungumza leo mara baada ya kutembelea kiwanda cha mafuta ya alizeti cha PYXUS kilichopo Kizota …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU ACHANGISHA SH. MILIONI 18.9 KUMSAIDIA MTOTO MIRIAM

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameendesha harambee ya papo kwa papo na kuchangisha sh. milioni 18.9 ambapo kati ya hizo, sh. milioni 10 zimetolewa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akifuatilia tukio hilo kupitia Televisheni. Fedha hiyo ilichangishwa kwa ajili ya Miriam Msagati, binti mwenye ulemavu wa mwili ili ziweze …

Soma zaidi »

MAJALIWA – SERIKALI IMEDHAMIRIA KUFUFUA ZAO LA MKONGE

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kufufua zao la mkonge nchini, hivyo amewataka Watanzania wachangamkie fursa hiyo  kwa kujenga viwanda vya kuchakata bidhaa mbalimbali zitokanazo na zao hilo kama sukari, dawa, vinywaji, mbolea na nyuzi. Ametoa kauli hiyo Alhamisi, Januari 21, 2021 wakati akizungumza na wananchi baada ya kukagua …

Soma zaidi »