Ujenzi wa barabara mjini Kigoma unaendelea na barabara zote zinajengwa kwa kiwango cha lami

KIGOMA INAJENGWA UPYA

  • Barabara za mji wa Kigoma zajengwa upya kwa kiwango cha lami.
  • Barabara ya Lusimbi inayotokea mtaa wa Shaurimoyo Mwanga kupitia barabara kuu ya Lumumba,Legezamwendo,Mabatini na inakuja kutokea Pefa Ujenzi jirani kabisa na Kanisa la Efatha Ministry ambayo inakutana na Kasulu Road
  • Pia barabara Mji mwema ikianzia maeneo ya Bima Kigoma Mjini kupitia Website kwenda mpaka Bangwe jirani na Power Station ya Tanesco
  • Gungu kupitia Mwasenga Area kuja kutokea Katubuka Manguruweni

Tazama video hii wakati ujenzi unaendelea

Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI KALEMANI AFUNGUA KIWANDA CHA NGUZO ZA UMEME – KIGOMA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, amefungua kiwanda cha Nguzo cha Qwihaya, kilichopo katika Mtaa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *