“Na kazi ya Awamu hii ya tano, ni kukamilisha mambo yote ambayo mwalimu alitamani yafanyike lakini alihujumiwa yasikamilike. Yepi hayo? Moja; Ni kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma…” “Nendeni msome hansadi za Registrative council mwaka 1959.. Waingereza wanazungumzia ..wakoloni wale..watawala wale.. kuhamishia makao kwenda dodoma. Shida ilikuwa ni fedha! Nendeni msome …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: September 2018
Live: Rais Magufuli akizungumza na wanachi wa mkoa wa Mara – Tarehe 5 September 2018
RaisDkt Magufuli akutana na Spika Mstaafu Pius Msekwa.
Rais Dkt John Pombe Magufuli akiagana na wenyeji wake spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Pius Msekwa na Mkewe Mama Anna Abdallah Msekwa Ikulu ndogo Nansio Ukerewe Mkoani Mwanza.
Soma zaidi »SERIKALI YA AWAMU YA TANO; Miaka mitatu madarakani
• Imejenga hostel bora na za bei nafuu zinazonufaisha wanafunzi zaidi ya 4,000 katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ” Kabla ya hostel hivi kujengwa, ilikuwa wanafunzi wanapanga vyumba mitaani.. Pia wengine wanapata vyumba ambavyo viko mbali na chuo ambapo pia inawawia vigumu kwenye usafiri ifikapo asubuhi.. ile kuhangaika …
Soma zaidi »Live: Rais Magufuli akihutubia Wananchi kupitia Mkutano wa hadhara katika uwanja wa ukuta mmoja uliopo nansio, Ukerewe – Tarehe 4 Septemba 2018
https://www.youtube.com/watch?v=mj_03P-BgOI
Soma zaidi »RAIS WA ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA UZIDUNZI WA OFISI MPYA ZA WAKALA WA MATUKIO YA KIJAMII NA MFUMO WA KIDIGITALI WA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII
Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa takwimu sahihi ni jambo muhimu kwa serikali katika kupanga maendeleo ya watu wake. Amesema hayo katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii, huko Dunga Wilaya ya Kati …
Soma zaidi »UZINDUZI WA OFISI ZA KIDIJITALI ZA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII ZANZIBAR
https://www.facebook.com/Ikuluzanzi/videos/328800437694452/
Soma zaidi »MAANDALIZI YA UZINDUZI WA MFUMO MPYA WA KIDIGITALI WA USAJILI YAKAMILIKA ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein atazindua mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii Zanzibar September 4,2018 huko Dunga Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kuanzia saa nne asubuhi. Tazama picha za ofisi mpya za Wakala wa Usajili wa …
Soma zaidi »