Maktaba ya Mwezi: October 2018

NACHINGWEA YATANGAZA UZINDUZI WA MSIMU WA UUZAJI KOROSHO 2018/2019

Pamoja na uzinduzi huo, Mhe. Rukia ameendelea kuunga mkono wito wa serikali kwa kukaribisha wawekezaji wa viwanda vya kubangua korosho wilaya humo ili wakulima wanufaike zaidi na kuongeza thamani ya zao hilo sambamba ya ajira kwa wakulima na watakao ajiriwa katika viwanda vhivyo. Tarehe ya Uzinduzi 13/10/2018 siku ya Jumamosi …

Soma zaidi »

MIKOA YA DODOMA,GEITA NA NJOMBE YAONGOZA MAKUSANYO YA KIMKOA

Waziri Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Selemani Jafo amesema kuwa serikali imekuwa ikifuatilia ukusanyaji wa Mapato katika Halmashauri zote ili kuweza kufanikisha utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zote nchini. Waziri Jafo amesema hayo wakati akitoa taarifa ya makusanyo ya mapato ya Halmashauri zote nchini Mkoani Dodoma. MAKUSANYO …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU – BENKI KUU SASA ITADHAMINI MIKOPO YA MTAJI YA WACHIMBAJI WADOGO WADOGO KATIKA MABENKI!

“Leo nimepita eneo nimekuta Bank Kuu.. na wenyewe Benk ya Biashara NBC.. wananiambia, sisi tuko tayari kutoa mikopo kwa wajasiliamali (wa Madini); ili wanunue mitambo, wanunue vifaa vingine vya kusaidia kuchimba.. lakini pia na kuboresha.” – Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa. 30/09/2018, Geita “Benki Kuu wanasema, ni nyie tu (wachimbaji …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU: Mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge utakuwa wa gharama nafuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema uamuzi wa Serikali ya awamu ya tano wa kujenga mradi wa kuzalisha umeme kwenye maporomoko ya mto Rufiji, Stiegler’s Gorge utasaidia sana kudhibiti uharibifu wa mazingira nchini. Akizungumza baada ya kutembelea eneo utakapojengwa mradi huo, Waziri Mkuu amesema umeme utakaotokana na maji, utazalishwa kwa gharama nafuu na …

Soma zaidi »