Wanafunzi wa kidato cha nne nchini kote leo wameanza mitihani ya kumaliza elimu ya kidato cha nne katika shule 4873 na vituo vya kujitegemea 1072 wanaanza rasmi mitihani yao leo November 5 hadi 23 mwaka huu ya kumaliza elimu yao ya kidato cha nne.
Tunawatakia wanafunzi wote mitihani mema.
Ad
Ad