Serikali imekabidhi rasmi eneo la mradi wa umeme wa maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (RHPP), kwa mkandarasi Kampuni ya Arab Contractors kwa pamoja na ile ya Elsewedy Electric zote kutoka nchini Misri. Hatua hiyo sasa inaashiria kuanza kwa kazi ya ujenzi wa mradi huo wa umeme ambao utazalisha Megawati …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: February 2019
MOI WAENDESHA KAMBI YA UPANDIKIZAJI WA NYONGA BANDIA NA UPASUAJI WA MGONGO
Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI) kwa kushirikianana hospitali ya Zydus ya nchini India kuanzia leo tarehe 14/02/2019 mpaka tarehe 16/02/2019 zitaendesha kambi maalum ya upandikizaji wa nyonga bandia na upasuaji wa Mgongo kwa njia ya kisasa. Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt. Respicious Boniface amesema Katika kambi hii Madaktari bingwa wa …
Soma zaidi »SERIKALI KUENDELEA KUJENGA MAZINGIRA WEZESHI KATIKA SEKTA YA KILIMO
Serikali imedhamiria kuendelea kujenga mazingira wezeshi na endelevu katika Sekta ya Kilimo kupitia sera imara na zenye kutekelezeka. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Angellah Kairuki wakati akifungua Kongamano la Tano la Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuhusu Sera Jijini Dodoma …
Soma zaidi »KAMPUNI YA JERVOIS YAONESHA NIA KUWEKEZA KABANGA
Waziri wa Madini Doto Biteko amekutana na Wawakilishi wa Kampuni ya Jervois Mining Limited ya Australia ambayo imeonesha nia ya kuwekeza katika mradi wa Nikel- Colbat, Kabanga. Akizungumza katika kikao hicho, Waziri Biteko ameendelea kusisitiza kuhusu kufuatwa kwa Sheria na taratibu kwa wenye nia ya kuwekeza katika Sekta ya Madini …
Soma zaidi »UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGA VYA KISASA UNAVYENDELEA DODOMA
LIVE CATCH UP:MAKABIDHIANO YA ENEO LA UJENZI WA MRADI WA KUFUA UMEME KWA NJIA YA MAJI RUFIJI
Hafla ya Makabidhiano Eneo la Ujenzi wa Stiglers Gorge Leo Februari 14, serikali kupitia Wizara ya Nishati, inafanya hafla ya makabidhiano ya eneo la ujenzi wa mradi wa kufua umeme kwa njia ya maji mkoani Rufiji. Hafla hiyo imehudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri mwenyeji wa Nishati, Dkt Medard Kalemani.
Soma zaidi »RAIS DKT. SHEIN AENDELEA NA ZIARA YAKE WILAYA YA MAGHARIBI A UNGUJA
MAKAMU WA RAIS AKISHIRIKI KONGAMANO KUHUSU TATIZO LA DAWA ZA KULEVYA KWA WASANII.
Limeandaliwa na Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za kulevya. Limehudhuriwa wa wasanii wa fani mbalimbali. fuatilia kongamano hili kwa kubofya link hii..
Soma zaidi »PBPA YATAKIWA KUHAKIKISHA KUWA BANDARI ZOTE ZINATUMIKA KUPOKEA NA KUSHUSHA MAFUTA
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ameitaka Bodi ya Wakala wa Uagizaji wa Mafuta kwa Pamoja (PBPA) kuhakikisha kuwa bandari zote nchini zinatumika katika shughuli za kupokea na kushusha mafuta ili kuongeza wigo wa upatikanaji mafuta katika sehemu mbalimbali nchini. Aliyasema hayo jijini Dar es Salaam wakati wa kikao chake …
Soma zaidi »MKURABITA INATEKELEZA KWA VITENDO DIRA YA MAENDELEO YA TAIFA 2025
Katika kipindi cha miaka minne (2005 – 2008) uchumi wa Tanzania umeendelea kuimarika na Pato la Taifa lilikua kwa wastani wa asilimia 7.2 kwa mwaka kuongezeka kutokana na shughuli za kiuchumi katika sekta za viwanda, ujenzi na fedha. Pamoja na mwaka 2009 kuwa ni mwaka ambao kasi ya ukuaji wa …
Soma zaidi »