Ikiwa ni muendelezo wa majadiliano mbalimbali kuhusu mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania (EACOP), Kamati za Ulinzi na Usalama za mradi kutoka nchi hizo zimekutana jijini Kampala kwa lengo kujadili masuala ya usalama ya mradi huo. Kikao kati ya pande hizo mbili kilianza tarehe 18/3/2019 na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 21, 2019
LIVE CATCH UP: WAZIRI PROF. KABUDI AKIZUNGUMZIA UJUMBE ULIOFIKA NCHINI KUTOKA QATAR NA NORWAY
Aelezea ujio wa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Qatar aliyefika nchini siku Jumatano tarehe 20 Machi, 2019 na kuondoka Alhamisi tarehe 21 Machi, 2019. Qatar kushirikiana na Tanzania katika uwekezaji kwenye uchimbaji na uvunaji wa gesi pamoja na uwekezaji katika uwekezaji wa hoteli …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAISA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA UN WOMEN
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez, Ikulu jijini Dar …
Soma zaidi »SERIKALI KUANZA RASMI MAJADILIANO YA MRADI WA UCHAKATAJI NA UUZAJI GESI
Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, ameeleza kuwa, Serikali imeamua kuanza rasmi majadiliano ya mradi wa uchakataji na uuzaji gesi iliyo katika hali ya kimiminika (Liquefied Natural Gas-LNG project) mwanzoni mwa mwezi wa Nne mwaka huu Dkt Kalemani ameyasema hayo jijini Dodoma wakati wa kikao chake na watendaji wa kampuni …
Soma zaidi »