Rais Dkt. John Magufuli aipongeza Serikali ya Kenya kwa maamuzi yake ya kuirejeshea dhahabu zenye uzito wa kilo 35.34 zilizotoroshwa nchini Tanzania na Wafanyabiashara wasio waamini kwa njia ya magendo mwaka 2018. Akizungumza katika hafla ya kukabidhi dhahabu pamoja na fedha taslimu akiwa pamoja na ujumbe wa Mawaziri na Watendaji …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 24, 2019
MAKAMBA AKABIDHI OFISI KWA GEORGE SIMBACHAWENE
BURUNDI YAFURAHIA MRADI WA RELI YA SGR NA BANDARI KAVU KWALA – RUVU
Serikali ya Burundi imeufurahia mradi mkubwa wa reli ya SGR unaoendelea kufanyika nchini pamoja na ujio wa bandari kavu iliyopo eneo la kwala , ambapo nchi jirani ikiwemo Burundi, Rwanda, Uganda, Congo , Malawi , Zambia zitanufaika na usafirishaji wa mizigo . Hayo yamezungumzwa na Waziri wa Ujenzi , Uchukuzi …
Soma zaidi »LIVE:MAKABIDHIANO YA DHAHABU ILIYOKAMATWA NCHINI KENYA INAWASILISHWA NA MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA KENYA
Rais Magufuli atashuhudia makabidhiano ya dhahabu iliyokamatwa nchini Kenya itakayowasilishwa na Mjumbe Maalum wa Rais wa Kenya Mhe. Kenyatta leo Julai 24, 2019. Hafla ya makabidhiano hayo inafanyika Ikulu Jijini DSM
Soma zaidi »