Maktaba ya Kila Siku: July 25, 2019

FUAD: TUKO TAYARI KUPOKEA NAKUSAFIRISHA MIZIGO NA VIFAA VYA UJENZI MRADI WA UMEME RUFUJI.

Shirika la Reli la Tanzania na Zambia (TAZARA) limekamilisha ujenzi na ukarabati wa Stesheni ya Treni Fuga uliohusisha Stendi kubwa ya kupokea mizigo na vifaa vya ujenzi wa bwawa la kufua Umeme Mto Rufuji. Akizungumza katika ziara ya kutembelea ujenzi wa huo, Meneja wa Shirika hilo nchini Tanzania, Fuad Abdallah …

Soma zaidi »

NI MRADI WA UMEME WA MTO RUFIJI SIYO STIEGLER’S – WAZIRI KALEMANI

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amewasihi watanzania kuwa wazalendo kwa kuacha kuuita mradi wa kuzalisha umeme kwa maporomoko ya maji ya mto Rufiji kwa jina la Stiegler’s badala yake wauite kwa jina lake halisi la kizalendo. Aliyasema hayo kwa nyakati tofauti jana, Julai 24, 2019 wakati akizungumza na waandishi …

Soma zaidi »