Maktaba ya Kila Siku: January 6, 2020
MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA VITUO VYA KISAYANSI PEMBA
DKT. MPANGO: WAHASIBU MAFISADI KUKIONA CHA MOTO
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango, ameiagiza Menejimenti ya Wizara ya Fedha na Mipango kuwachukulia hatua kali za kinidhamu wahasibu wote wanaofanya vitendo vinavyokinzana na maadili ya kitaaluma ya uhasibu kama wizi, ubadhirifu wa mali za umma, ufisadi na rushwa. Dkt. Mpango alitoa maagizo hayo wakati akifungua …
Soma zaidi »SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR KUENDELEZA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inafanya juhudi kubwa katika kuendeleza miradi ya maji safi na salama na si muda mrefu changamoto ya upatikanaji huduma hiyo itakuwa ni historia. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyasema hayo leo katika hotuba yake wakati wa ufunguzi …
Soma zaidi »RAIS DKT. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA JENGO LA MICHEZANI MALL NA JENGO LA SHEIKH THABIT KOMBO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa kulikuwa kuna kila sababu ya kufanyika Mapinduzi matukufu ya Januri 12, 1964 ili kuleta usawa na umoja sambamba na kuwafanya Waafrika waishi maisha bora. Rais Dk. Shein aliyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla …
Soma zaidi »ZANZIBAR IMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA KATIKA SEKTA YA ELIMU – RAIS DKT. SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amesema Zanzibar imepata mafanikio makubwa katika sekta ya elimu, kutokana na misingi bora iliyowekwa na muasisi wa Taifa hili, marehemu Abeid Amani Karume. Dk. Shein amesema hayo katika hafla ya Ufunguzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeshauri, …
Soma zaidi »