KATIBU MKUU NZUNDA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) JIJINI DODOMA.

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda pamoja na timu aliyoongozana nayo wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda akitoa maelekezo kwa Msimamizi na Meneja wa Mradi wa Ujenzi kutoka Chuo kikuu cha Ardhi, Godwin Maro wakati alipotembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la Ofisi za Tume ya Taifa ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) lililopo eneo la Njedengwa Dodoma Juni 18, 2020 unaosimamiwa na Kikosi cha SUMA JKT.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Waziri Mkuu na Bunge) Bw. Tixon Nzunda akitoa maelekezo kwa wasimamizi wa mradi wa ujenzi wa jengo la ofisi ya Tume ya Uchaguzi (NEC) alipotembelea kukagua maendeleo ya mradi huo Juni 18, 2020.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS SAMIA ATEMBELEA RUKWA.. AANGAZIA AFYA, ELIMU, KILIMO NA MIUNDOMBINU KWA MIRADI YA MAENDELEO.

Katika ziara ya Rais Samia siku ya leo iliangazia kwenye sekta ya Afya, Elimu, Kilimo …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *