HALMASHAURI ZATAKIWA KUTUMIA RAMANI ZINAZOTOLEWA NA WIZARA YA ARDHI

Na Munir Shemweta, WANMM SONGWE

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kutumia ramani zilizoandaliwa na kutolewa na Wizara ya Ardhi kupitia idara yake ya Upimaji na Ramani kwa kuwa ndiyo yenye jukumu la kutafsiri mipaka ya nchi.

Ad

Akizungumza wakati akimkabidhi mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali mstaafu Nicodemus Mwengela ramani mbili za Tanzania pamoja na ile ya mkoa wa Songwe jana, Dkt Mabula alisema, Wizara kupitia idara yake ya upimaji na ramani ndiyo yenye mamlaka ya kuandaa na kutoa ramani nchini tofauti na zile zinazotolewa na watu wengine ambazo wakati mwingine zinakuwa na upotoshaji wa mipaka.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akikata utepe kuzindua ofisi ya ardhi mkoa wa Songwe jana. Wa pili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali mstaafu Nicodemus Mwengela na kulia ni Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa wa Songwe Suma Mwakasitu.

Alisema, katika kuepukana na sintofahamu inayoweza kutokea, halmashauri nchini zinapaswa kutumia ramani zinazotolewa na wizara ya ardhi na kuzisambaza katika shule za msingi na sekondari ili kuepuka aina yoyote ya upotoshaji unaoweza kutokea kwa wanafunzi.

‘’Ninaziomba halmashauri nchini kutumia ramani zinazotolewa na wizara kupitia idara ya upimaji kwa kuwa inatoa ramani zenye uhakika wa mipaka iliyotafsiriwa na wataalam tofauti na watu wengine wanaotoa ramani zenye upotoshaji wa mipaka ‘’ alisema Mabula

Naibu Waziri Mabula ambaye alizindua pia ofisi ya ardhi mkoa wa Songwe alisema, wizara yake itatoa ramani ya Tanzania kwenye mikoa yote na kubainisha kuwa ramani hizo ndizo zinazotakiwa kutumika kwa kuwa zina vielelezo vinavyokubalika.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimkabidhi hati ya ardhi mkazi wa Songwe Bi. Mary Shaurini wakati wa hafla ya uzinduzi ofisi za ardhi mkoa wa Songwe jana. Kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali mstaafu Nicodemus Mwengela.

Akigeukia uzinduzi wa ofisi za ardhi katika mikoa, Dkt Mabula alisema uzinduzi wa ofisi hizo ikiwemo ya mkoa wa Songwe ni jitihada za serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dkt John Pombe Magufuli kusogeza huduma za sekta ya ardhi karibu na wananchi.

Kupitia uzinduzi wa ofisi hizo za ardhi aliwataka wananchi pamoja na wadau kuzitumia ofisi za ardhi za mikoa kupata huduma za sekta hiyo na kusisitiza kuwa wakifanya hivyo watakuwa wamekidhi matarajio ya Raisi Magufuli kusogeza huduma za ardhi karibu na wananchi.

Aidha, Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi alionesha umuhimu na faida ya kuwa na hati ya ardhi kwa wananchi wa mkoa wa Songwe na kuwaeleza kuwa wanaweza kuitumia katika shughuli za kiuchumi kwa kuchukulia mkopo benki na kutolea mfano wa jinsi hati ya kwanza kutolewa mkoa huo mwaka 1939 ambayo sasa iiko katika mkoa wa Songwe ilivyotumika kuchukulia mkopo na wamiliki wake.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akioneshwa moja ya jalada la ardhi na Kamishna Msaidizi wa ardhi mkoa wa Songwe Suma Mwakasitu wakati wa uzinduzi ofisi ya ardhi mkoa wa Songwe jana. Wa pili kulia ni Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali mstaafu Nicodemus Mwengela.

Kwa upande wake Mkuu wa mkoa wa Songwe Brigedia Jenerali mstaafu Nicodemus Mwengela alisema uanzishwaji ofisi za ardhi za mikao utausaidia mkoa wake kutatua migogoro ya ardhi kwa kuwa wananchi wake hawatahitaji tena kwenda umbali mrefu kama ilivyokuwa hapo nyuma.

Naye Kamishna Msaidizi wa Ardhi katika ofisi ya Ardhi mkoa wa Songwe Suma Mwakasitu alisema, ofisi yake ambayo tayari inazo hati na nyaraka mbalimbali zilizohamishiwa kutoka iliyokuwa ofisi ya kanda mkoa wa Mbeya itaendelea kufanya ziara kwenye wilaya nne inazohudumia kwa lengo la kuwaelimisha wananchi kuhusuiana na huduma inazotoa ili waweze kuitumia ofisi hiyo.

Ad

Unaweza kuangalia pia

“Kila Mtanzania, awe kijana au mzee, anapaswa kujiuliza, ‘ninafanya nini kwa ajili ya taifa langu?’

“Kila Mtanzania, awe kijana au mzee, anapaswa kujiuliza, ‘ninafanya nini kwa ajili ya taifa langu?’ …

79 Maoni

  1. Analysis of Arsenal’s impressive revival https://arsenal.bukayo-saka.biz under the leadership of Mikel Arteta and the key role of young star Bukayo Saki in the club’s return to the top.

  2. Gavi’s success story https://barcelona.gavi-fr.com at Barcelona: from his debut at 16 to a key role in club and national team of Spain, his talent inspires the world of football.

  3. The success story of the French footballer https://juventus.thierry-henry.biz at Juventus: from his career at the club to leadership on the field , becoming a legend and a source of inspiration for youth.

  4. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  5. The powerful story of Conor McGregor’s https://ufc.conor-mcgregor-fr.biz rise to a two-division UFC championship that forever changed the landscape of mixed martial arts.

  6. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  7. An exploration of Nicole Kidman’s https://watch.nicole-kidman-fr.com career, her notable roles, and her continued quest for excellence as an actress.

  8. How Taylor Swift https://midnights.taylor-swift-fr.com reinvented her sound and image on the intimate and reflective album “Midnights,” revealing new dimensions of her talent.

  9. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  10. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  11. A fascinating story about Brazilian veteran Thiago Silva’s https://chelsea.thiago-silva.net difficult path to the top of European football as part of Chelsea London.

  12. драгон мани казино вход web-kulinar.ru

  13. The rise of 20-year-old midfielder Jamal Musiala https://bavaria.jamalmusiala-br.com to the status of a winger in the Bayern Munich team. A story of incredible talent.

  14. A historia da jornada triunfante de Anitta https://veneno.anitta-br.com de aspirante a cantora a uma das interpretes mais influentes da musica moderna, incluindo sua participacao na serie de TV “Veneno”.

  15. Achraf Hakimi https://paris-saint-germain.ashrafhakimi.net is a young Moroccan footballer who quickly reached the football elite European in recent years.

  16. Ayrton Senna https://mclaren.ayrtonsenna-br.com is one of the greatest drivers in the history of Formula 1.

  17. Rodrygo Silva de Goes https://real-madrid.rodrygo-br.com, known simply as Rodrygo, emerged as one of the the brightest young talents in world football.

  18. Bruno Miguel Borges Fernandes https://manchester-united.brunofernandes-br.com was born on September 8, 1994 in Maia, Portugal.

  19. Vinicius Junior https://real-madrid.vinicius-junior-ar.com the Brazilian prodigy whose full name is Vinicius Jose Baixao de Oliveira Junior, has managed to win the hearts of millions of fans around the world in a short period of time.

  20. Harry Kane https://bayern.harry-kane-ar.com one of the most prominent English footballers of his generation, completed his move to German football club Bayern Munich in 2023.

  21. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  22. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.ali-al-bulaihi-ar.com has long been one of the main sports, attracting millions of fans. In recent years, one of the brightest stars in Saudi football has been Ali Al-Bulaihi, defender of Al-Hilal Football Club.

  23. Казахский национальный технический университет https://satbayev.university им. К.Сатпаева

  24. Продажа новых автомобилей Hongqi
    https://hongqi-krasnoyarsk.ru/politics в Красноярске у официального дилера Хончи. Весь модельный ряд, все комплектации, выгодные цены, кредит, лизинг, трейд-ин

  25. Kylie Jenner https://kylie-cosmetics.kylie-jenner-ar.com is an American model, media personality, and businesswoman, born on August 10, 1997 in Los Angeles, California.

  26. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  27. Jackie Chan https://karate-kid.jackiechan-ar.com was born in 1954 in Hong Kong under the name Chan Kong San.

  28. When Taylor Swift https://shake-it-off.taylor-swift-ar.com released “Shake It Off” in 2014, she had no idea how much the song would impact her life and music career.

  29. In recent years, the leading positions in the Spanish https://spanish-championship.laliga-ar.com championship have been firmly occupied by two major giants – Barcelona and Real Madrid.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *