Na. WAMJW-Dodoma Serikali imefanikiwa kutimiza dhamira ya kuhakikisha kunakuwa na upatikanaji na uwiano wa kutosha katika utoaji huduma za afya pamoja na kuhakikisha wananchi wanapata huduma za afya za uhakika na wakati. Hayo yamesemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi wakati akifungua kikao kati ya Wizara ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 9, 2020
TAASISI YA BENJAMINI MKAPA (BMF) YAAJIRI WATU 575
Mkurugenzi Mtendaji Hospitali ya Taifa Muhimbili Prof. Lawrence Museru akizungumza na na baadhi wataalamu wa afya waliopata ajira ya muda kupitia taasisi ya Benjamin Mkapa Taasisi ya Benjamin Mkapa (BMF) kupitia ufadhili wa mashirika ya Maendeleo ya Irish Aid, UKAID-DFID na UNFPA, imeajiri watumishi wa kada mbalimbali za afya 575 …
Soma zaidi »MFUMUKO WA BEI MWEZI JUNI WAENDELEA KUWA ASILIMIA 3.2
Na Mwandishi Wetu- MAELEZO Mfumuko wa bei wa Taifa kwa mwezi Juni 2020 umeendelea kuwa asilimia 3.2 kama ilivyokuwa mwezi Mei, 2020. Akizungumza Julai 8, 2020 Jijini Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Bi. Ruth Minja amesema kuwa …
Soma zaidi »UWEKEZAJI MIRADI SEKTA YA VIWANDA UNAAKSI SERA YA TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA – MWAMBE
Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania(TIC), Geoffrey Mwambe amesema kuwa Miundombinu iliyojengwa na Serikali imewezesha kituo hicho kupiga hatua kubwa na kulete wawekezaji wengi katika Sekta ya uwekezaji hasa kwenye sekta ya Viwanda. Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam, Mwambe amesema miundimbinu iliyojengwa na Serikali …
Soma zaidi »