Maktaba ya Kila Siku: July 21, 2020

WIZARA YA KILIMO YAJIPANGA KUKUZA KILIMO CHA MBOGA MBOGA NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya (tarehe 20/07/2020 ) amesaini mkataba wa makubaliano kati ya Wizara ya Kilimo na World Vegetable Center ili kuboresha utafiti na uendelezaji wa mazao ya mboga mboga ili kusaidia kuboresha lishe na kuongeza usalama wa chakula.Mkataba wa makubaliano umesainiwa Jijini kati ya Katibu Mkuu …

Soma zaidi »

UJENZI WA VIVUKO BUGOROLA UKARA, CHATO NKOME KUKAMILIKA AGOSTI

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle wa pili kushoto akitoa maelezo kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wakala huo Prof. Idrissa Mshoro wa pili kulia wakati wakikagua maendeleo ya ujenzi wa vivuko vya Bugorola Ukara na Chato Nkome katika tukio lilofanyika katika yadi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: ULINZI WA NCHI NI KWA WATANZANIA WOTE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema suala la ulinzi wa nchi ni la Watanzania wote na siyo la kuwaachia vyombo kama Jeshi la Wananchi, Uhamiaji, Polisi au Magereza. Ametoa kauli hiyo (Jumapili, Julai 19, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa Matogoro, wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara. “Suala la ulinzi ni letu sote …

Soma zaidi »