SERIKALI IMESAINI MIKATABA MIWILI YA UJENZI WA BARABARA YA MZUNGUKO WA JIJI LA DODOMA KM 112.3

Serikali imesaini mikataba miwili ya ujenzi wa barabara ya mzunguko wa jiji la dodoma kwa kiwango cha lami ya njia nne yenye urefu wa kilometa 112.3 ili kupunguza msongamano katika jiji hilo mikataba iliyosainiwa ni baina ya Wakala wa Barabara

(TANROADS) kwa niaba ya Serikali na wakandarasi wawili Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) na AVIC INTL Project Engineering Company walioshinda zabuni ambao watajenga barabara hiyo kwa kipindi cha miezi 36. Mkandarasi Civil Engineering Construction Corporation

Ad

(CCECC), atajenga kilometa 52.3 kuanzia Nala – Veyula – Mtumba – Ihumwa Dry Port na mkandarsi AVIC INTL Project Engineering Company atajenga kilometa 60 itakayoanzia Ihumwa Dry Port – Matumbulu hadi Nala.

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Isack Kmwelwe
Ad

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokelewa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Angola Mhe. Mhe. João Manuel Gonçalves Lourenço mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Luanda nchini Angola tarehe 08 Aprili, 2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *