Maktaba ya Kila Siku: July 13, 2020

NCHIZA SADC ZATAKIWA KUPAMBANA NA UGAIDI NA UTAKATISHAJI FEDHA HARAMU

Na Farida Ramadhani, Dar es Salaam Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) zimeshauriwa kuunganisha nguvu zao kupambana na changamoto ya utakatishaji fedha haramu na ufadhili wa makundi ya kigaidi zinazotishia usalama na kuharibu uchumi wa nchi hizo  . Ushauri huo umetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara …

Soma zaidi »

WAKULIMA MBINGU KILOMBERO WANUFAIKA NA UWEZESHAJI WA KILIMO CHA KOKOA

Na Mwandishi Ifakara Wakulima wa zao la Kokoa Mbingu Wilayani Kilombero mkoani Morogoro wamenufaika na uwezeshaji kutoka Shirika la Africa WildLife lililowezesha kuongeza thamani ya zao la Kokoa kutoka kuandaa miche mpaka uzalishaji. Hayo yamebainishwa na wanufaika hao wakati wa zoezi la ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi inayotekelezwa na Mashirika …

Soma zaidi »

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA MPANGO WA UENDELEZAJI WA VIWANDA VIDOGO NA VYA KATI JIJINI DODOMA

NA. MWANDISHI WETU Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama amezindua Mpango wa Uendelezaji wa Viwanda Vidogo na vya Kati wenye lengo la kutatua changamoto ya upatikanaji wa ujuzi, masoko na mitaji katika miradi midogo …

Soma zaidi »

WIZARA YA ARDHI YAWASILISHA TAARIFA YA VIJIJI VYENYE MIGOGORO MAENEO YA HIFADHI KWA MARC

Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha taarifa ya utekelezaji maagizo ya kutoondolewa vijiji 920 kati ya 975 vilivyokuwa katika migogoro maeneo ya hifadhi nchini kwa Wakuu wa mikoa wa Tanzania Bara. Uwasilishaji taarifa hiyo umefanywa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi …

Soma zaidi »