Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka vijana wa wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi waache kukaa vijiweni na badala yake waanzishe bustani ili kujiongezea kipato. “Biashara ya bustani inalipa sana, yeyote anayetaka fedha, ataipata shambani. Nataka niwasisitize sana twende tukalime, twende shambani. Shamba siyo lazima ulime mahindi, mpunga pekee ama muhogo. Bustani …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: July 18, 2020
PROF. SHEMDOE AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZALISHAJI WA SARUJI NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Prof. Riziki Shemdoe akizungumza na wamiliki wa viwanda vinavyozalisha saruji (pichani) kuhusu changamoto za bei ya saruji katika maeneo mbalimbali nchini, mkutano huo ulifanyika katika Eneo huru la Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje ya Nchi (EPZA), Jijini Dar es Salaam. Na Mwandishi …
Soma zaidi »MRADI WA JULIUS NYERERE HATUA ZOTE 8 ZAKAMILIKA
Na mwandishi wetu, HATUA zote nane (8) za utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa bwawa la kufua umeme wa maji la Julius Nyerere (JNHPP-MW2115) kwenye bonde la mto Rufiji unaendelea kwa kasi inayohitajika, Mhandisi mkazi wa mradi huo Eng. Mushubila Kamuhabwa amewaambia waandishi wa habari kwenye eneo la mradi Julai …
Soma zaidi »