MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGEA NA WANACHAMA WA DODOMA BAADA YA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA URAIS

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikongea na  wanachama
wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais
kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akionesha Ilani ya Uchaguzi wakati
akikongea na  wanachama wa CCM wa Dodoma baada ya kutoka kuchukua fomu
hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma
leo
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na wana CCM akiwa na Makamu wa Rais na Mgombea Mwenza katika Uchaguzi Mkuu Mhe Samia Suluhu Hassan baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga tumba za bendi ya TOT baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Msafara wa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya kutoka kuchukua fomu hizo za kugombea Urais kutoka Tume ya Taifa ya Uchaguzi jijini Dodoma leo.
Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA RAIS WA JAMHURI YA KENYA DKT. WILLIAM SAMOEI RUTO, NAIROBI NCHINI KENYA

Leave a Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.