Maktaba ya Kila Siku: August 10, 2020

MGANGA MKUU WA SERIKALI AWAAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA KUONGEZA JITIHADA KATIKA KUPUNGUZA VIFO VYA MAMA NA MTOTO.

NA WAMJW- KILIMANJARO Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi ameagiza ndani ya miezi sita (6) Waganga Wakuu wote wa mikoa, Waganga Wakuu wa Wilaya na Waganga wafawidhi wa hospitali zote nchini kuongeza kasi katika kupunguza zaidi vifo vya mama na mtoto kwa kuboresha huduma na usimamizi katika maeneo yao. …

Soma zaidi »

TUFANYE KAZI KWA USHIRIKIANO ILI KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA NCHINI – DKT GRACE MAGEMBE

Na WAMJW- ARUSHA Mkurugenzi wa tiba Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Watoa huduma za Afya wote nchini kufanya kazi kwa kushirikiana baina yao na viongozi wao ili kuboresha huduma za afya nchini. Dkt. Grace, ametoa wito huo wakati alipofanya …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA MIKAKATI KUKAMILISHA UJENZI MRADI HOSPITALI YA KWANGWA

Na Mwandishi Wetu, MUSOMANaibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa, Wizara ya Afya pamoja na Mshauri Mwelekezi wa mradi Chuo Kikuu cha Ardhi kukutana na kupanga mikakati kuhakikisha ujenzi mradi wa Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mara (KWANGWA) unakamilika kwa …

Soma zaidi »