Wananchi wa vijijini mkoani Geita watanufaika na huduma ya majisafi kutoka asilimia 60 hadi kufikia asilimia 75 ifikapo mwezi Desemba, 2020 baada ya kiasi cha shilingi bilioni 13 kupangwa kukamilisha miradi ya maji. Meneja wa Wakala wa Usambazaji Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoa wa Geita Mhandisi Nicas …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: October 2020
DKT KALEMANI AAGIZA WANANCHI WAUNGANISHIWE UMEME NDANI SIKU 21
Hafsa Omar-Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani ametoa agizo kwa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Wakala wa Nishati Vijijini( REA) pamoja na wakandarasi wote kuhakikisha kuwa wananchi wote waliolipia huduma ya umeme waunganishiwe umeme ndani ya siku 21. Alitoa agizo hilo Oktoba 5,2020 wakati akiwa kwenye ufunguzi …
Soma zaidi »MKUU WA MKOA WA DAR ES SALAAM AKAGUA MRADI WA TANKI LA MAJI NA SEHEMU YA KUSAMBAZIA MAJI
Baadhi ya mitambo za kusukumia maji iliyopo kwenye mradi wa Makongo Juu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Daniel Chongolo na viongozi wa Dini wakiwasili kwenye mradi wa maji wakiongozwa na Meneja wa miradi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KIVUKO CHA MAFIA, KIGAMBONI JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maendeleo yaujenzi wa Kivuko cha Mafia, kitakachotoa huduma kati ya Nyamisati,wilayani Kibiti na Kisiwa cha Mafia, kwenye karakana ya SongoroMarine, iliyopo Kigamboni, jijini Dar es salaam, Oktoba 5, 2020. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo na Mkurugenzi wa Ufundi, Kampuni ya Songoro Marine, Khalid Songoro, wakati alipokagua …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA TATU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 05 Oktoba, 2020 amepokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa nchini. Mabalozi waliowasilisha hati zao za utambulisho, Ikulu Jijini Dar es Salaam ni Mhe. David William Cancar (aliyeteuliwa kuwa Balozi wa …
Soma zaidi »RAIS AMEWAAMINI WAZALENDO KUTEKELEZA JNHPP – NAIBU KATIBU MKUU MASANJA
Veronica Simba – Rufiji Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Leonard Masanja, amempongeza Rais John Pombe Magufuli kwa kuwaamini wazalendo katika kusimamia utekelezwaji wa Mradi wa Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP). Alitoa pongezi hizo Oktoba 3, 2020 wakati akizungumza na Wajumbe wa Menejimenti ya Wizara ya Nishati pamoja …
Soma zaidi »MELI YA ABIRIA MV MBEYA II KUANZA SAFARI LEO
Meli ya abiria ya Mv Mbeya II, leo tarehe 5 Oktoba, 2020 inaanza safari yake ya kwanza ya kutoka bandari ya Itungi kwenda Mbamba bay. Meli hiyo itapita katika bandari za Matema, Lupingu, Manda, Ndumbi, Liuli, na Mbamba bay. Ambapo maandalizi yote yamekamilika meli inaanza safari asubuhi hii, kuanza kwa …
Soma zaidi »SERIKALI YAHIMIZA KUKAMILIKA KWA WAKATI KITUO CHA KUPOZA UMEME NYAKANAZI
Kazi ya ujenzi wa kituo cha kupoza umeme Nyakanazi ikiendelea. Taswira hii ilinaswa wakati wa ziara ya Timu ya Serikali inayosimamia Mradi wa Umeme wa Rusumo, kukagua maendeleo ya utekelezaji wake, Septemba 30, 2020. Kituo hicho kinatarajiwa kukamilika Februari, 2021. Serikali imehimiza kukamilishwa kwa wakati, ujenzi wa kituo cha kupoza …
Soma zaidi »TARURA YATEKELEZA MIRADI YA AHADI ZA RAIS WILAYANI MULEBA
Na. Erick Mwanakulya, Kagera. Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), unaendelea kutetekeleza miradi ya Ahadi za Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwa kukamilisha ujenzi wa Barabara zenye urefu wa Km 2.76 kwa kiwango cha lami katika Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera. Akizungumza wakati wa ukaguzi …
Soma zaidi »