Kwa mara ya kwanza bandari ya Tanga imeandika historia baada ya meli kubwa ya Mv Star Eos yenye urefu wa mita 200 kutia nanga karibu kabisa na gati la bandari ya Tanga baada ya bandari hiyo kufanyiwa maboresho ikiwemo kuongezwa kina cha maji. Meli hiyo iliyobeba shehena ya “Clinker” Tani …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: November 2020
MIRADI YA MAJI CHALINZE INATARAJIWA KUKAMILIKA MWAKA 2021
Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mkoani Pwani Ridhiwani Kikwete akizungumza na Meneja DAWASA – Chalinze, Bw. Onest Makoi Meneja wa Dawasa wa Chalinze mkoani Pwani amesema kuwa miradi maji inayoendelea katika jimbo la Chalinze inatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwaka 2021. Amezungumza hayo wakati wa ziara ya Mbunge wa Jimbo la …
Soma zaidi »MAWAZIRI SADC – TROIKA WAKUTANA KWA DHARURA BOTSWANA
Baraza la Mawaziri wa Asasi ya SADC ya Ushirikiano wa Siasa, Ulinzi na Usalama wakutana katika mkutano wa dharura na kujadili masuala ya siasa, ulinzi na usalama. Ujumbe wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba …
Soma zaidi »MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI IFIKAPO JULAI 2021
Na. Bebi Kapenya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuagiza Mkandarasi Kampuni ya China Heinan International Cooperation Co. Ltd (CHICO) anayetekeleza Mradi wa ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Lami zenye urefu wa Km 51.2 katika Mji wa Serikali Mtumba kukamilisha …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA
Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …
Soma zaidi »MA – DC MKOANI RUKWA KUSIMAMIA TATHMINI YA MWAKA WA MTOTO JANUARI 2021
Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo akiwaonesha Mkakati wa miaka mitano wa Kupambana na Mimba za Utotoni katika Mkoa kwa wadau waliohudhuria kwenye uzinduzi wa mradi wa kuzuia ndoa na mimba za utotoni kabla ya kuzindua mradi huo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi ya Mkuu wa mkoa. …
Soma zaidi »MAKATIBU WAKUU SADC -TROIKA WAJADILI HALI YA SIASA, ULINZI NA USALAMA
Na Mwandishi wetu, Gaborone Makatibu Wakuu wa SADC -TROIKA wamekutana na kujadiliana Mambo mbalimbali yakiwemo masala ya hali ya Siasa, Ulinzi na Usalama ndani ya SADC mjini Gaborone, Botswana. Awali, Mkutano wa Makatibu Wakuu ulifunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Botswana, Bw. …
Soma zaidi »RUWASA NA DAWASA KUMALIZA KERO YA MAJI BAGAMOYO
Na Mwamvua Mwinyi, BagamoyoWakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (Ruwasa) na Dawasa wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani, wamedhamiria kumaliza kero ya maji kwa wakazi wilaya Bagamoyo , pamoja na Mji wa Vikawe uliopo Kibaha Mji.Hayo yameelezwa na Kaimu Meneja wa Ruwasa wilayani humo Mhandisi James Kionaumela na …
Soma zaidi »DKT. CHAULA AFUNGUA MAFUNZO YA KUBAINI NA KUANDAA REJISTA YA VIHATARISHI VYA SEKTA YA MAWASILIANO
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (aliyekaa mwenye kilemba) akizungumza na menejimenti pamoja na wataalamu wa Sekta hiyo, wakati wa kufungua mafunzo ya kuandaa rejista ya vihatarishi (Risk Register) vya Sekta hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma Katibu …
Soma zaidi »BODI YA USHAURI NFRA YARIDHISHWA NA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA
Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri Mhandisi Eustance kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa katika eneo la Maisaka Mjini Babati katika Mkoa wa Manyara, tarehe 25 Novemba 2020. Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa …
Soma zaidi »