Maktaba ya Mwezi: November 2020

BANDARI YA TANGA IMEANDIKA HISTORIA BAADA YA MELI KUBWA YA MV STAR EOS YENYE UREFU WA MITA 200 KUTIA NANGA

Kwa mara ya kwanza bandari ya Tanga imeandika historia baada ya meli kubwa ya Mv Star Eos yenye urefu wa mita 200 kutia nanga karibu kabisa na gati la bandari ya Tanga baada ya bandari hiyo kufanyiwa maboresho ikiwemo kuongezwa kina cha maji. Meli hiyo iliyobeba shehena ya “Clinker” Tani …

Soma zaidi »

MKANDARASI ATAKIWA KUMALIZA UJENZI WA BARABARA ZA MJI WA SERIKALI IFIKAPO JULAI 2021

Na. Bebi Kapenya Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), Mhandisi Victor H. Seff amemuagiza Mkandarasi Kampuni ya China Heinan International Cooperation Co. Ltd (CHICO) anayetekeleza Mradi wa ujenzi wa Barabara kwa kiwango cha Lami zenye urefu wa Km 51.2 katika Mji wa Serikali Mtumba kukamilisha …

Soma zaidi »

DKT. MPANGO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO YA SOKO LA TANGAWIZI KIGOMA

Na Josephine Majura, Kigoma Waziri wa Fedha na Mipango,  Dkt. Philip Isdor Mpango, ameahidi kulipatia ufumbuzi tatizo la soko la zao la biashara la Tangawizi linalolimwa kwa wingi Kata ya Munzeze wilayani Buhigwe mkoani Kigoma. Dkt. Mpango ametoa ahadi hiyo katika Kata ya Munzeze mkoani Kigoma, akiwa kwenye ziara ya kikazi mkoani humo ambapo amesema atatafuta …

Soma zaidi »

DKT. CHAULA AFUNGUA MAFUNZO YA KUBAINI NA KUANDAA REJISTA YA VIHATARISHI VYA SEKTA YA MAWASILIANO

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano) Dkt. Zainab Chaula (aliyekaa mwenye kilemba) akizungumza na menejimenti pamoja na wataalamu wa Sekta hiyo, wakati wa kufungua mafunzo ya kuandaa rejista ya vihatarishi (Risk Register) vya Sekta hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dodoma Katibu …

Soma zaidi »

BODI YA USHAURI NFRA YARIDHISHWA NA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA

Wajumbe wa Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula-NFRA wakiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri Mhandisi Eustance kukagua hatua zilizofikiwa za ujenzi wa maghala na vihenge vya kisasa katika eneo la Maisaka Mjini Babati katika Mkoa wa Manyara, tarehe 25 Novemba 2020.  Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Taifa wa …

Soma zaidi »