Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameendelea na kikao chao kwa siku ya pili ikiwa ni maandalizi ya mkutano wa baraza la mawaziri wa SADC unaotarajiwa kufanyika tarehe 12 – 13 Machi, 2021 kwa njia ya mtandao jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu Wizara ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: March 2021
MAHINDI YA TANZANIA NI SALAMA KWA MATUMIZI YA BINADAMU NA WANYAMA, NA YANAKIDHI VIGEZO VYOTE VYA KIMATAIFA – BASHE
Ameandika Naibu Waziri Hussein Bashe kuhusu mahindi ya Tanzania: Salaam Ndg. zangu nataka niseme kuwa Mahindi ya Tanzania ni Salama kwa matumizi ya Binadamu na Wanyama,na yanakidhi vigezo vyote vya Kikanda na kimataifa. Biashara ni suala la hiari, wanaweza kununua au kutonunua kutoka kwetu. Kinachotusumbua sisi ni kauli ya upotoshaji …
Soma zaidi »UFARANSA KUENDELEZA AWAMU YA TANO YA MRADI WA MABASI YA MWENDOKASI
Balozi wa Umoja wa Ulaya hapa nchini, Mhe. Manfredo Fanti akimuelezea jambo Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) wakati walipokutana kwa mazungumzo katika Ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AZINDUA MATUMIZI YA GESI ASILIA KATIKA MAGARI YA DANGOTE
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amezindua matumizi ya Gesi asilia katika magari (CNG) ya kampuni ya kiwanda cha kutengeneza Saruji cha Dangote katika kufanya safari zake badala ya kutumia mafuta. Dkt. Kalemani alifanya uzinduzi huo wakati wa ziara yake ya kikazi Mkoani Mtwara ya kutembelea Kiwanda cha Dangote, kukagua …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAGIZA KUCHUKULIWA HATUA WALIOKWAMISHA ZOEZI LA URASIMISHAJI KIVULE
Na Munir Shemweta, WANMM Waziri Lukuvi ameagiza kuchukuliwa hatua na kuchunguzwa watendaji wote wa chuo cha ardhi Morogoro (ARIMO) waliohusika kuchelewesha urasimishaji makazi katika kata ya Kivule Dar Es Salaam. Aidha, Waziri Lukuvi aligiaza pia Makamishna wote wa ardhi katika ofisi za ardhi za mikoa kumpatia majina na kampuni zilizoshindwa kutekeleza …
Soma zaidi »KISWAHILI CHAPENDEKEZWA KUTUMIKA RASMI SADC
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam Lugha ya Kiswahili imependekezwa kuanza kutumika rasmi katika majadiliano kwenye vikao vya ngazi ya baraza la mawaziri na katika utendaji wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Pendekezo hilo limewasilishwa na Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, …
Soma zaidi »DKT. CHAULA ASISITIZA UWAZI KWA WATENDAJI WA TAASISI ZA MAWASILIANO ZENYE MATAWI TANZANIA BARA NA VISIWANI
Na Faraja Mpina – WMTH, Zanzibar Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Zainab Chaula amewataka watendaji wa taasisi za mawasiliano zenye matawi Tanzania bara na visiwani kuwa wazi kwa wananchi kwa kutoa maelezo ya kina kuhusu sheria, taratibu na miongozo mbalimbali ili kuondoa sintofahamu kwa …
Soma zaidi »HAKIKISHENI WATOTO WANAPATA TIBA SAHIHI PINDI WANAPOUGUA – MTAALAMU KUTOA PASS
Na Mwandishi Maalum – Dar es Salaam Wazazi na walezi nchini wameshauriwa kuwapeleka watoto wao katika vituo vya afya kwa ajili ya uchunguzi na matibabu stahiki pindi watakapoonesha viashiria vyovyote vya ugonjwa. Wito huo umetolewa leo na kiongozi wa kikundi cha wanawake kutoka Taasisi binafsi ya kuwezesha sekta ya kilimo …
Soma zaidi »SERIKALI YAJA NA MPANGO WA KUTAMBUA KILA KIPANDE CHA ARDHI NA KUTOA LESENI ZA MAKAZI KWA HARAKA
Na. Hassan Mabuye, Mwanza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kutekeleza mradi wa utambuzi wa kila kipande cha ardhi kwa ajili ya kupanga, kupima na kumilikisha vipande vya ardhi kwa kutoa leseni za makazi ndani ya siku 14. Akizungumza wakati wa uzinduzi wa mradi huo wa utambuzi …
Soma zaidi »UJENZI WA DARAJA LA TANZANITE WAFIKIA ASILIMIA 70.6 JIJINI DAR ES SALAAM
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu. Excavator ikishushwa chini ya sakafu ya bahari kwa ajili ya kazi ya kuchimba katika muendelezo wa kazi za …
Soma zaidi »