MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA TAIFA YA CCM JIJINI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Dkt.J.P.Magufuli akijiandaa kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichokutana leo Agosti 18,2020 Ikulu Chamwino Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Ndg Philip Mangula, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally na Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho (Visiwani) Dkt. Abdullah Juma Mabodi wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Visiwani) Dkt Ali Mohamed Shein, wakirudi ukumbini baada ya mapumziko mafupi ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM leo Jumanne Agosti 18, 2020 jijini Dodoma PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

HERI YA SIKU YA WAFANYAKAZI, MEI MOSI

Tunawatakia Watanzania wote Heri ya Siku ya Wafanyakazi, Mei Mosi! Ni siku muhimu ya kuenzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *