Recent Posts

TBA YAPEWA KONGOLE KUTEKELEZA MIRADI 85

Imeelezwa kuwa katika kipindi cha miaka mitano Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), umefanikiwa kutekeleza miradi mikubwa ya ujenzi wa Majengo ya Serikali 85 nchi nzima yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 142 ikiwamo miradi ya “Buni – Jenga”. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. …

Soma zaidi »

KIKAO KAZI CHA KWANZA CHA WIZARA YA NISHATI

Wazari wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akitoa maelekezo na maagizo mbalimbali katika kikao kazi cha kwanza kilichojumuisha Wakuu wa Bodi, Menejimenti, Idara, Vitengo na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo kilichofanyika katika ofisi za wizara zilizopo Mji wa kiserikali Mtumba Dodoma leo tarehe 12 Desemba 2020, kulia ni Naibu …

Soma zaidi »

TANZANIA NA PAKISTAN ZASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA KIDIPLOMASIA

Tanzania na Pakistan zimetiliana saini mikataba miwili ya makubaliano ambayo ni mkataba wa mashaurino ya kidiplomasia pamoja na mkataba wa kuanzisha tume ya pamoja ya ushirikiano wa kiuchumi. Mikataba hiyo imesainiwa leo Jijini Dar es Salaam na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John …

Soma zaidi »

TANZANIA YAHIMIZA MATAIFA MAKUBWA KUENDELEA KUZIFUTIA MADENI NCHI ZA OACPS

Na Nelson Kessy, Tanzania imeendelea kuhimiza umuhimu wa mataifa makubwa kuzifutia madeni nchi za Jumuiya ya nchi za Afrika, Caribbean na Pasifiki (OACPS) zilizoathiri na janga la COVID-19 pamoja na kuyataka mataifa hayo kuhakikisha kwamba chanjo ya COVID-19 itakayopatikana inazifikia nchi zote za Jumuiya hiyo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri …

Soma zaidi »

SERIKALI KUENDELEA KUTATUA KERO ZA MIPAKA CHALINZE – KIKWETE

Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewahakikishia wananchi wa Kata ya Pera na Chalinze kuwa Serikali itaendelea kutatua kero za migogoro ya Ardhi katika Halmashauri hiyo wakati wa ziara ya kukutana na kuwashukuru Wananchi wa jimbo hilo kufuatia ushindi mkubwa walioupata. Akiongea na wananchi wa Kata ya Pera , …

Soma zaidi »