Recent Posts

MAKAA YA MAWE RUVUMA YAINGIZA BILIONI 400 NA KUTOA AJIRA 700

Madini ya makaa ya mawe yanayochimbwa mkoani Ruvuma yameingiza zaidi ya shilingi bilioni 400 na kutengeneza ajira za watanzania zaidi ya 700. Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amesema kiasi hicho  cha fedha kimepatikana kutokana na mauzo ya madini ya makaa ya mawe zaidi ya tani milioni  3.3 ambayo …

Soma zaidi »

RAIS DKT. HUSSEIN ALI MWINYI AAPISHWA RASMI

Jaji Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu akimuapisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Haasan Mwinyi (kulia) kuongoza Zanzibar kwa awamu ya 8 kuanzia 2020-2025 sherehe za kiapo zilizofanyika leo katika uwanja wa Amaan Studium Jijini Zanzibar.

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ASHUHUDIA UZINDUZI WA MSIKITI, CHAMWINO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 26 Oktoba, 2020 ameshuhudia uzinduzi wa Msikiti wa Sheikh Abubakar Zubeir Ally uliojengwa Chamwino Mkoani Dodoma kwa gharama ya shilingi Milioni 319.3 zilizotokana na michango ya viongozi, taasisi na watu mbalimbali. Ujenzi wa Msikiti huo ulianza tarehe …

Soma zaidi »

KATIBU MKUU MWAKALINGA APOKEA KIVUKO CHA MV.PANGANI II

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga amepokea kivuko cha MV.PANGANI II kilichofanyiwa ukarabati mkubwa katika sherehe zilizofanyika Tanga, MV. PANGANI II kimefanyiwa ukarabati kwa gharama ya shilingi milioni 496 na kina beba abiria 100 na magari madogo 4 sawa na tani 50.

Soma zaidi »