Recent Posts

MAMA MARIA AKUTANA NA BASHIRU ALLY KATIBU MKUU WA CCM

Mjane wa Mwalimu Nyerere Mwenyekiti wa Kwanza wa CCM na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mama Maria Nyerere amekutana na kuwa na mazungumzo na Ndugu Bashiru Ally Kakurwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mama Maria ametumia mkutano huu kumpongeza Ndugu Katibu Mkuu kwa juhudi kubwa ambazo anaendelea kuzifanya …

Soma zaidi »

DKT. MWANJELWA;MTUMISHI WA UMMA ANATAKIWA KUPIMWA KWA UTENDAJI KAZI

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) amewataka watumishi wa ofisi yake kuwa mfano wa kuigwa na taasisi nyingine kiutendaji kwa kufanya kazi kwa bidii, maarifa, uadilifu na weledi ili kujenga misingi bora ya utumishi wa umma nchini. Mhe. …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATOA MSAMAHA KWA WAFUNGWA 4,477

Ndugu Wananchi na Ndugu Watanzania Wenzangu; Jumapili, tarehe 9 Disemba 2018, nchi yetu (Tanzania Bara), itatimiza miaka 57 tangu kupata Uhuru wake kutoka Utawala wa Uingereza. Napenda, kwanza kabisa, kutumia fursa hii kuwashukuru na kuwapongeza wazee wetu wote, wakiongozwa na Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, kwa kufanikisha …

Soma zaidi »

TCAA KUFANYA MAJARIBIO YA KWANZA YA MFUMO WA RADA

Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA), inatarajia kufanya majaribio ya kwanza ya mfumo wa rada ya kuongozea ndege nchini unaojengwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA). Akizungumza na wanahabari waliofanya ziara ya kutembelea ujenzi huo, Msimamizi wa Ujenzi wa jengo lililokuwa ikifungwa rada …

Soma zaidi »

MAVUNDE AKABIDHI GARI LA HUDUMA ZA MAZISHI KWA WANANCHI

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Mh Anthony Mavunde ametekeleza ahadi yake ya kuwapatia wananchi wa jimbo hilo gari la kuhudumia shughuli za mazishi ambalo litatumiwa na wananchi wote bila gharama yoyote. Gari hilo maalum la huduma za mazishi limekabidhiwa leo kwa wananchi wa Dodoma chini ya uratibu wa Ofisi …

Soma zaidi »

TANZANIA KINARA WA KUVUTIA WAWEKEZAJI AFRIKA MASHARAIKI

Tanzania imeendela kuweka rekodi ya kuvutia wawekezaji kwa nchi zilizopo ukanda wa Afrika Mashariki kwa kuwa na mtaji wa uwekezaji wa Dola Bilioni 1.18, ikifuatiwa na Uganda wenye uwekezaji wa dola za kimarekani 700 Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) …

Soma zaidi »