Recent Posts

FLYOVER YA ENG. MFUGALE; KUTOKA WAZO, AHADI, MAAMUZI, USIMAMIZI HADI UHALISIA!

“Mtakumbuka ndugu zangu.. wakati tukiomba kura.. ili tuchaguliwe; Tulieleza mengi.” “Na moja ya yale tuliyoyaeleza..na hasa mimi nilipokuwa hapa Dar es Salaam, nilisema nitahakikisha barabara ya Flyover inajengwa na Dar es Salaam inabadilika.” “Ahadi ni deni. Nina uhakika kwa wana Dar es Salam leo ni ushahidi tosha.. kwa sababu tulipokuwa …

Soma zaidi »

SASA MAENDELEO YANAONEKANA!

• Wananchi wazungumza namna Eng. Mfugale Flyover inavyoiacha TAZARA jeupe • Wasifu na kupongeza wote waliofanikisha ujenzi wa Flyover hiyo. • Sasa foleni yawa historia eneo la TAZARA • Kutokea Posta/Airport sasa hakuna kusimama eneo la TAZARA #SisiNiTanzaniaMpyA+ #MATAGA 💪🏿💪🏿 ( Bofya link 👇🏽)

Soma zaidi »

#TupoVizuri; Utandikaji Reli SGR Waanza Rasmi!

• Kwa siku chache zijazo km 55 zitakuwa tayari zimekamilika kutandikwa reli ya kisasa – SGR. • Waziri wa Mawasiliano, Ujenzi na Uchukuzi Eng. Isack Kamwele azindua zoezi hilo rasmi. • Kasi ya ujenzi yawa kubwa huku ari ya utendaji wa wafanyakazi ikingezeka maradufu. hakika maendeleo yanaonekana… maana #SisiNiTanzaniaMpyA+ yenye …

Soma zaidi »

WANANCHI WA KJIJI CHA MUSANJA WAJITOLEA KUJENGA DARAJA

  Wananchi wa Kijiji cha Musanja, Kata ya Musanja wamejitolea kwa hali na mali kujenga daraja linalounganisha Vitongoji vya Kaharaga na Kukema (ilipo S/M Musanja) ili kurahisisha mawasiliano kati ya Shule na Jamii inayozunguka Shule hiyo. Ujenzi wa Daraja hilo utasaidia wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Musanja waliokuwa wanapata shida …

Soma zaidi »