UJENZI WA RELI YA KISASA

Zipo aina 3 za Mataruma-:

1.Mbao,

Ad

2.Chuma na

3.Zege

lakin Mataruma ya Zege ni imara ndiyo yanayotumika kwenye ujenzi wa Reli za kiwango cha Kimataifa- SGR kote Duniani,

Mataruma haya hutengenezwa kwa Nondo na mchanganyiko wa Zege yenye Saruji Kali.

Taruma moja Lina uzani wa Kilo 380

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA STAND YA MABASI YA MIZENGO PINDA MPANDA MKOANI KATAVI

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *